GANJIBHAAI
Senior Member
- Mar 22, 2018
- 124
- 403
Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii.
From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed revolution leo tuna simu janja kutoka MTV Yo Raps, MCM (TRACE) to Black Entertainment Television (BET) kuanzia Radio Tanzania (Maua yake mzee Nyaisanga kipindi kifupi sana saa tatu usiku Alhamis kama sikosei), Radio One (Mhagama, Abubakar Sadik) to Mawingu (ML Chris, Kabwe, wanyama wote bila kumsahau my homie Terrence Mwakaliku), Kiss FM (Steve Kabuye, DJ Jeff Jerry).
Mambo ni mengi itoshe tu kusema, tukirudi kwenye point yangu, shule za sekondari zilikuwa kama incubutors kwenye kuzalisha vipaji vilivyopelekea kuzalisha kwa wingi vipaji vingi sana vilivyopelekea kukuza mziki wa kizazi kipya pande zote za Tanzania hii pamoja na Afrika Mashariki kwa ujumla wake.
Mimi ni shuhuda mkubwa, na ninashudia hili nikiwa mmoja wa walioshuhudia process hii nzima. Kinachonisikitisha ni kuona leo hii hakuna anayetambua mchango shule za sekondari Tanzania katika mziki huu wa kizazi kipya.
Mimi nimesoma boarding schools za Nyanda ya Juu Kusini, Cypher to Cypher all the way from IR to MBY, but today, I dedcate this to Aza Boys na Tambaza.
GANJI.