Tar 1/08/1986 nilizaliwa
Ninafuraha kubwa kusherekea siku yangu ya kuzaliwa huku nikifurahia upendo wa Mungu juu ya maisha yangu.
Nichukue nafasi hii kuwashukru moderators wa jukwaa hili kwa kuendelea kunilinda maana wajumbe wengi walipendekeza nipigwe ban 🤣 🤣
Once again "HAPPY BIRTHDAY TO...
To the love of my life: Thank you for being my friend my best friend my life mate my everything!
You’re not just my love sweetheart you’re my destiny my heart a perfect match.
No words can explain how much you mean to me Smart . Wishing you a day full of happiness joy and laughter.
Happy...
MUDA, HAKIMU ASIYEPOKEA RUSHWA
Na Emily Mwakilembe
Mwanadamu anaweza kujenga ukuta wa uongo, lakini muda huufanya uchakazwe na upepo wa ukweli. Anaweza kununua sifa kwa fedha, lakini hawezi kununua heshima ya historia. Anaweza kuficha makosa kwa kipindi fulani, lakini hawezi kuuzuia muda...
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita...
Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.
Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.
Mungu akupe miaka mingi...
Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳
Kwa niaba ya wana jamvii
Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele
Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day
Mungu akuongezee hekima, strength na...
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.
Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
Katika maisha Kuna mengi tunayokutana nayo,mengine tunayashinda na Kuna yanayotushinda.
Kwa hiyo Kuna mengi ya kumshukuru Mungu katika haya.
Nahitaji miaka mingi zaidi Ili niendelee kupata uzoefu na kujifunza zaidi.
Happy birthday to me.
No reform No election
Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year
Am 28 years old
Sina ninachomiliki
Age goo
Mit 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Usiku wa jumamosi ya tarehe 19 Mei, 1962, katika ukumbi wa Madison Square Garden, New York, uligeuka kuwa jukwaa la historia ambalo halitokuja kuandikwa vizuri hata kidogo katika siasa na burudani ndani ya Taifa la Marekani.
Ni usiku ambao Marilyn Monroe, mrembo mwenye mvuto wa kipekee, aliimba...
To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock.
To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my favorite.
Happy birthday to my friend my best friend a best friend in deed! Tamu yangu ya muda wote😋💕 I...
Happy birthday 🎉 to me..
Happy birthday to me mama mchungaji wa JF...
Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine...
NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai
Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
Nawasilisha
Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia.
Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.