mama yao

The 2012 Mnet Asian Music Awards took place on November 30, 2012, at Hong Kong Convention and Exhibition Centre in Hong Kong. The ceremony was the third consecutive Mnet Asian Music Awards to occur outside of South Korea. It was reported by international news agencies such as Agence France-Presse, ITN, and was also broadcast in 85 countries around the world.Leading the nominees was Psy with six nominations. By the end of the ceremony, Psy had won four awards, the most of any of the nominees, followed by boybands Big Bang and Busker Busker with two each, excluding the special awards.

View More On Wikipedia.org
  1. Aramun

    Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  2. sky soldier

    Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

    Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume. Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k. Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe...
  3. NetMaster

    Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  4. Nyamayanguruwe

    Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  5. Jidu La Mabambasi

    Huko Geita: Watoto watatu watuhumiwa kumuua mama yao mzazi

    Kuua kunatisha. Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi. Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa. Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba. Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake. ---- Watoto watatu wa familia moja...
  6. Idugunde

    Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  7. Roving Journalist

    Tabora: Watoto wakodi muuaji akaue Mama yao

    WATOTO WATUHUMIWA KUKODI MUUAJI WA MAMA YAO MZAZI TABORA: Jeshi la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Nyanzobe Bukangala mkazi wa Kijiji cha Chamwabo wilayani Nzega. Kwa mujibu wa Polisi, chanzo cha mauaji hayo ni imani za...
Back
Top Bottom