Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume.

Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k.

Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe 27 hivi, mke wake huwa anarudi kwao kwa kuomba ruhusa ya kwenda kusalimia kwao, ni mtu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini.

Sasa kuna kipindi mwaka 2020 mke wake alienda na watoto huko kwao waende kuwaona wajomba, bibi, kina mama mkubwa, n.k. Mme hakuafiki akampa ruhusa kwa roho nyeupe kabisa.

Mwaka juzi alienda peke yake.

Mwaka jana tena aliomba aende na watoto, Anko ni kama machale yalimcheza, waliporudi akaanza kuchukua hatua za kuhakikisha kama anachokihisi ni kweli,

Siku 1 tu baada ya mke na watoto kurudi, akasubiria mke wake atoke nyumbani, aliwachunguza kwa umakini watoto, La Haula!! aliwezza kuziona chale kadhaa japo zilikuwa ni ndogo sana, alipowauliza watoto mwanzoni walisita ila aliwazidi akili kirahisi wakafunguka kwamba usiku wa manane waliamshwa wakaambiwa wavae boksa tu, walipelekwa jikoni chumba cha nje, walikuta taa zimezimwa ila kuna chungu maji yanachemshwa halafu kuna mtu akawa kashika tawi dogo la mti lenye majani analichovya kwenye chungu kisha anachapa mgongoni na tumboni mara mbili, wakaambiwa warudi chumbani ila waliona wengine wanaendelea, asubuhi walichanjwa, mama yao aliwaasa sana wasiseme chochote akawanunulia mpira na vitu vizuri vizuri.

Yule mkubwa anasema mara ya kwanza kuna supu ilichemshwa ila ni kama zimechanganywa na mchanga, kula ilikuwa taabu sana maana ina mchanga, baada ya kula kuna mchanga walilazimishwa kuuvuta kwa pua wakawa wanapiga sana chafya, hawakuwa peke yao, hata mama yao nae alikuwa anapiga sana chafya.

Anko ameunganisha doti kaona kwamba zile tripu za kila mwisho wa mwaka huwa ni za kwenda kutambika.

Ajabu ni kwamba mama yao ni muhudhuriaji mzuri sana wa kanisani, kila siku hio nyumba ni lazima wasali, kuna utaratibu wa kupokezana kusali, leo house girl, kesho baba, kesho mama, kesho mtoto wa kwanza, kesho mtoto wa pili, kesho mgeni, n.k. na tena inabidi uwe na fungu kabisa, ulielezee kisha ndio usali.
 
Kazi kweli kweli, sema kuna jamii ni ngumu sana kuachana na mambo yao ya jadi, inaweza isiwe kwa ubaya ila ni mamatambiko na utaratibu wa jamii, koo, familia yao.

Ilimkuta jamaa yetu mmoja alioa na kuzaa nje (sweden) basi familia mashangazi na mabibi kila kukicha kelele wanataka wajukuu wao waje bongo kufanyiwa mila jamaa anachomoa ikitokea kaja bongo basi watoto anawaacha dsm hakuna kuwapeleka mkoa kama mnashida mtawafata kuwaona dar, basi ugomvi na ndugu zake daily wakimtuhumu amezaa na mzungu na amekubali kutowafanyia watoto matambiko.
 
uncle zako wameanza kulishwa miko bado watoto sana wapelekeni kwenye maombi mapema hiyo kitu itakuja kuwasumbua badae
Ajabu ni kwamba mama yao ni muhudhuriaji mzuri sana wa kanisani, kila siku hio nyumba ni lazima wasali, kuna utaratibu wa kupokezana kusali, leo house girl, kesho baba, kesho mama, kesho mtoto wa kwanza, kesho mtoto wa pili, kesho mgeni, n.k. na tena inabidi uwe na fungu kabisa, ulielezee kisha ndio usali.
 
Hiyo ni nyungu sio uchawi Wala nini.

Mimi na ndugu zangu wa ukoo yaani watoto wa baba mkubwa, mdogo, shangazi, wapwa na wajomba.

Kipindi hicho nilimaliza kidato Cha sita ila kaka zetu wamemaliza vyuo kikuu na wengine elimu mbalimbali na hakuna aliye na kazi.

Tukatakiwa turudi kijijini na tulifanya hivyo .
Babu yetu aliyafanya hayo yote usiku wa manane kipindi Cha Giza Totoro.

Nakumbuka maneno ya babu akisema yeye Hana kinyongo na Mizimu ya Ukoo Haina kinyongo twende tukapambane na tukalukishwa moto.

Asubuhi ikaanza pungo, hili nadhani kwa wazaramo na wandengereko wanalijua, nakumbuka ilivyofika zamu yake akasema anatenda kama ilivyo ada kama walivyo tenda Babu wa Babu yake.

Baada ya hapo tukaenda kufanya usafi makaburini na kaburi la mwanzilishi wa ukoo huku tukitamka kile tukitakacho na chale zikahusika huku akichinjwa mbuzi mweusi, mweupe na mwekundu.
Hivyo wajukuu tukapambane na tusiwe na hofu nasi zamu yetu itafikia.

Mimi nilikaa miezi mitatu tu nikawa nachagua kazi ila kaka zangu wote walipata kazi na dada zetu wa Ukoo.

Rest in peace Babu ndevu Sina Tena wa kumtania nikipata maokoto pindi niludipo.
 
Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume.

Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k.

Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe 27 hivi, mke wake huwa anarudi kwao kwa kuomba ruhusa ya kwenda kusalimia kwao, ni mtu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini.

Sasa kuna kipindi mwaka 2020 mke wake alienda na watoto huko kwao waende kuwaona wajomba, bibi, kina mama mkubwa, n.k. Mme hakuafiki akampa ruhusa kwa roho nyeupe kabisa.

Mwaka juzi alienda peke yake.

Mwaka jana tena aliomba aende na watoto, Anko ni kama machale yalimcheza, waliporudi akaanza kuchukua hatua za kuhakikisha kama anachokihisi ni kweli,

Siku 1 tu baada ya mke na watoto kurudi, akasubiria mke wake atoke nyumbani, aliwachunguza kwa umakini watoto, La Haula!! aliwezza kuziona chale kadhaa japo zilikuwa ni ndogo sana, alipowauliza watoto mwanzoni walisita ila aliwazidi akili kirahisi wakafunguka kwamba usiku wa manane waliamshwa wakaambiwa wavae boksa tu, walipelekwa jikoni chumba cha nje, walikuta taa zimezimwa ila kuna chungu maji yanachemshwa halafu kuna mtu akawa kashika tawi dogo la mti lenye majani analichovya kwenye chungu kisha anachapa mgongoni na tumboni mara mbili, wakaambiwa warudi chumbani ila waliona wengine wanaendelea, asubuhi walichanjwa, mama yao aliwaasa sana wasiseme chochote akawanunulia mpira na vitu vizuri vizuri.

Yule mkubwa anasema mara ya kwanza kuna supu ilichemshwa ila ni kama zimechanganywa na mchanga, kula ilikuwa taabu sana maana ina mchanga, baada ya kula kuna mchanga walilazimishwa kuuvuta kwa pua wakawa wanapiga sana chafya, hawakuwa peke yao, hata mama yao nae alikuwa anapiga sana chafya.

Anko ameunganisha doti kaona kwamba zile tripu za kila mwisho wa mwaka huwa ni za kwenda kutambika.

Ajabu ni kwamba mama yao ni muhudhuriaji mzuri sana wa kanisani, kila siku hio nyumba ni lazima wasali, kuna utaratibu wa kupokezana kusali, leo house girl, kesho baba, kesho mama, kesho mtoto wa kwanza, kesho mtoto wa pili, kesho mgeni, n.k. na tena inabidi uwe na fungu kabisa, ulielezee kisha ndio usali.
Chale ndo habari ya mjini,mpe kongole mama kwa kujiongeza

Tambua misukosuko mingi itokeapo kwa watoto hua hawalali.
 
Hiyo ni nyungu sio uchawi Wala nini.

Mimi na ndugu zangu wa ukoo yaani watoto wa baba mkubwa, mdogo, shangazi, wapwa na wajomba.

Kipindi hicho nilimaliza kidato Cha sita ila kaka zetu wamemaliza vyuo kikuu na wengine elimu mbalimbali na hakuna aliye na kazi.

Tukatakiwa turudi kijijini na tulifanya hivyo .
Babu yetu aliyafanya hayo yote usiku wa manane kipindi Cha Giza Totoro.

Nakumbuka maneno ya babu akisema yeye Hana kinyongo na Mizimu ya Ukoo Haina kinyongo twende tukapambane na tukalukishwa moto.

Asubuhi ikaanza pungo, hili nadhani kwa wazaramo na wandengereko wanalijua, nakumbuka ilivyofika zamu yake akasema anatenda kama ilivyo ada kama walivyo tenda Babu wa Babu yake.

Baada ya hapo tukaenda kufanya usafi makaburini na kaburi la mwanzilishi wa ukoo huku tukitamka kile tukitakacho na chale zikahusika huku akichinjwa mbuzi mweusi, mweupe na mwekundu.
Hivyo wajukuu tukapambane na tusiwe na hofu nasi zamu yetu itafikia.

Mimi nilikaa miezi mitatu tu nikawa nachagua kazi ila kaka zangu wote walipata kazi na dada zetu wa Ukoo.

Rest in peace Babu ndevu Sina Tena wa kumtania nikipata maokoto pindi niludipo.
Tatizo uchawi unachanganywa na tambiko,
 
Hayo mambo yanagharama kubwa sana. Makanisa mengi hayana Mungu. Hayana mafundisho juu ya matambiko,kafala na mizimu mwisho hizi roho mbaya zinafata kizazi hadi kizazi.

Ni mateso. Yesu wamemkataa wamejificha KWENYE jina ila mafundisho Ni yao. Pole kwa huyo baba. Sio kosa la mke au mme Ni kosa la makanisa feki.

Yeye Mungu anaona wala ahukumu sbb hajafundishwa mtendaji Basi akipata neema itakuwa. Asipopata Basi Tena mambo hayo Ni ya kuzimu
 
Back
Top Bottom