China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
1,012
2,709
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.

Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika.

Pamoja na hukumu hiyo, Zhenghua amefutwa uanachama katika chama tawala nchini China (CPC), ameondolewa haki ya kushiriki siasa za China maisha yake yote na mali zake zote zimetaifishwa.

########

Fu Zhenghua: China's ex-justice minister jailed for corruption

China's former justice minister Fu Zhenghua, who spearheaded several corruption-fighting campaigns, has been jailed for bribery.

Fu pleaded guilty in July to accepting 117 million yuan ($14.7m; $16.5m) in gifts and money for personal gain.
On Thursday, a court in Changchun gave him a death sentence to be commuted to life in prison after two years.
His conviction comes amid a sudden crackdown on officials ahead of a key Communist Party congress next month.

China's ruling party holds the event once every five years and this time President Xi Jinping is expected to be given a historic third term and consolidate his hold on power.

Fu's jailing on Thursday follows the sentencing of three other former provincial police chiefs this week. All four men are not only accused of corruption but also of being disloyal to Mr Xi.

They are all alleged to have been part of a political circle led by another ex-security figurehead, Sun Lijun. Sun, who is currently awaiting his sentence, was said to have created his own political faction through helping elevate other officials in the security apparatus.

Source: BBC
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
10,161
18,247
Pamoja na mambo mengi..ila hichi ndicho kimeifanya china ipate maendeleo, ukicheka na wana siasa lazima uvune umasikini na maendeleo duni katika nchi yako licha ya uwepo wa rasilmali nyingi katika nchi.

Dawa ni sheria kali na kuzitekeleza ipasavyo bila kutazama sura ama jina la mtu.

Swali ni jee nani atazitunga na kuzisimamia hasa kwa nchi hii ya walamba asali?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom