Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.
Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.
Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala...
1. Kumwagiwa maji baridi Sana
2. Kuwekwa kwenye chumba chenye mziki full blast
3. Kuwashiwa taa zenye mwanga mkali Sana
Hizo hatua tatu zikifanyika na bado haongei hupewa mateso mengine makali zaidi
Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili
Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa
Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili...
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika
Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail
Hearing...
Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina.
Habari kamili:
Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel, ni mhusika mkuu katika makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas.
Katika mpango huo...
Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira
Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili
1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu?
Ninaleta mada hii kutoka kata ya Kyengege wilaya ya Iramba mkoa wa Singida. Katika kata yetu Afisa Mtendaji wa Kata...
Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote.
Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza.
Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo.
Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.
https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa...
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria.
Hukumu hiyo ilitolewa...
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
Mtu aliyejitambulisha kwa jina la Magai James Manyerere, ameibua taharuki miongoni mwa wakazi wa mjini Igunga baada ya kuibuka mitaani akitembea akiwa amefungwa mnyororo miguuni.
Akijibu maswali ya baadhi ya watu waliojitutumua kumhoji, mtu huyo mwenye umri wa makamo amesema yeye ni mwenyeji wa...
Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha.
Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya...
Adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ni mojawapo ya adhabu kongwe na ya kuogofya zaidi duniani... Na ndio adhabu ya juu zaidi.... Kunyongwa hadi ufe kabisa baada ya kuthibitishwa na mahakama tuhuma zako
Kuna taratibu ngumu na za muda mrefu hadi mtuhumiwa afikie kunyongwa kwakuwa kuhukumiwa kunyongwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.