sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ?
Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo.
Sheria za kanisani ni kwamba ndoa haivunjiki isipokuwa tu penye ushahidi usio na shaka kwamba pana usaliti, nje ya hapo ni mpaka kifo kiwatenganishe, FULLSTOP !!
Haijalishi mke wako hapendi ndugu zako, mme anakushushia kipigo kikali, kunyimwa unyumba mwaka mzima, ulevi uliopitiliza, n.k. ndoa ya kikristo HAIVUNJIKI !!
Kwa wanaotaka ndoa za kuvunjia mahakamani waoane ndoa za mahakamani.
Mahakama ziheshimu taratibu zetu zitupishe, watu wamekuwa wa kukimbilia mahakamani kitu ambacho kikristo hakiruhusiwi,.
Mtu akiwa ndani ya ndoa ya kikristo iwe ni mpaka asalitiwe ama kifo, ikibainika ana ndoa kaifunga kijanja kuwe na kifungo cha maisha jela