kuvunja ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

    Habari zenu, Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu??? Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao. Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Wakuu Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NSSF Wanakaribia kuvunja ndoa yangu

    Nimefungua madai ya kulipwa mafao yangu baada ya miezi 18, nimefungua tarehe 23/4/2026. Nilipofika nikaambiwa malipo ni ndani ya mwezi mmoja tu. Baada ya hapo tarehe 1/5 nikakopa kwa riba laki 3 ili niweze kujikimu na familia, nikiamini tarehe 1/6 ntakuja nimelipwa. Cha ajabu tarehe 23/5...
  5. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa Jinsi ya kuvunja Ndoa au kutoa talaka

    Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari. Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine. Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Karne ya sasa wanawake ndio wanaongoza kwa kuvunja ndoa bila kujali idadi ya watoto walionao

    Wanawake hawaheshimu taasisi ya ndoa Ile tabia ya uchumba huwa inayeyuka mpaka wanakuwa wanyama ndani ya ndoa zetu. Poleni sana wanandoa. Kupitia hili sisi wanaume tujue kwamba kumzalisha mke watoto wengi hakumfanyi mwanamke ajenga commitment zaidi kwenye ndoa,. Au kumpa zawadi ya gari/nyumba...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa wanafki kuonekana wema lakini suluhisho la kunyimwa unyumba muda mrefu na kukosa watoto ni kuongeza mke au kuvunja ndoa

    Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto. Kama ni mwanaume -Ongeza mke -Vunja ndoa oa mwengine Kama ni mwanamke -Omba talaka uolewe upya Tuache kujifanya wema kwa unafki...
  8. RALC255

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma, Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia. Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

    Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo: Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa...
  12. IsaacMG

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

    Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,? Naombeni majibu wakongwe.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

    Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki Miji hiyo yote zinaendeshwa na...
  16. PSL god

    JamiiForums Tanzania Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

    Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya mawasiliao imevuruga husianao za mapenzi na kuvunja ndoa nyingi sana za watu humu nchini na duniani kwa ujumla

    Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya single mothers wenye pesa chanzo cha kuvunja ndoa za watu

    Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto. Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia hatua ya kuwachukua wanaume wa familia moja kwa moja kwa kuwahonga vitu mbalimbali. Wanawake hao...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  20. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
Back
Top Bottom