Seneta wa Nyandarua John Methu ameisukuma serikali ya Rais William Ruto kutoa hesabu kamili ya utendaji wake tangu ilipoingia madarakani mwaka 2022.
Methu amesema serikali haipaswi kupuuza ukosoaji kutoka kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kumkumbusha tu kuwa aliwahi kuwa sehemu ya...
Kwa Nini CCM imefika mwisho.
Haitavuka 2030.
Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania.
Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu.
Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa...
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa
Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa
Leseni 147 za maeneo tengefu
Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa.
Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283
Ongezeko la Shule za...
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.
Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.
Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Mauzo ya Tanzania katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yameongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 na 2024, yakichochewa na maboresho ya miundombinu ya biashara, juhudi za kiserikali katika kukuza biashara, ujumuishaji wa kikanda, na upanuzi wa wigo wa bidhaa zinazouzwa nje...
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Baghayo Saqware amesema kutokana na utekelezaji wa Sera nzuri chini ya uongozi mahiri wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Bima imeendelea kuimarika na kupata mafanikio katika kipindi cha...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%.
Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050.
Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya...
===
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025.
Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
Julai 10, 2025, kupitia ripoti ya UNAIDS iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Winnie Byanyima, alieleza hatua ya Marekani kusitisha ghafla ufadhili kupitia mpango wa PEPFAR imeacha pengo kubwa, na ikiwa dunia haitachukua hatua, watu milioni sita zaidi wanaweza...
"Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye mradi mahsusi." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha
Naomba waziri Mwigulu aainishe miradi ya kodi...
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake
Magufuli
1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa
2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.
3.Toto Afya kadi...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.