Search results

  1. Imalamawazo

    Tanzania na Kenya zadaiwa kuwa vinara wa kupeleka ujumbe mkubwa wa watu COP28

    UPDATE: At #COP28    Dubai, some countries took delegates that have nothing to do with climate change called "Overflow Delegates". In EAC, only Rwanda & Burundi didn't do that. TOTAL DELEGATES: Kenya 765 Tanzania 763 Uganda 606 DR Congo 590 Rwanda 223 Burundi 172 South Sudan 158 Overflow...
  2. Imalamawazo

    Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha...
  3. Imalamawazo

    John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni. My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
  4. Imalamawazo

    Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

    Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
  5. Imalamawazo

    Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  6. Imalamawazo

    Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  7. Imalamawazo

    Mwanasiasa sharti uwe na wafuasi siyo wapambe. Somo kutoka kwa Hayati Maalim Seif na Hayati Dkt. Magufuli

    Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana. Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
  8. Imalamawazo

    Ni muda muafaka sasa kwa Yanga S.C kubuni 'Mascot' yenye kuleta hamasa zaidi

    Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization. Mascot ya yanga ni nini? Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu? Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya...
  9. Imalamawazo

    SoC01 Wanaume tubadilike, Tujenge mazoea ya kuambatana na wenza wetu kliniki na wanavyoenda kujifungua

    Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
  10. Imalamawazo

    SoC01 Tutumie Vyuo Vikuu na HESLB Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira na Mitaji kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu

    1. Utangulizi Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira? Japo ni kweli kuwa tatizo la ukosefu wa ajira nchini linadhihirika zaidi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni vyema tukataraji...
  11. Imalamawazo

    Hello JF

    Cha mgeni huliwa na mwenyeji.
Back
Top Bottom