bunge la katiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Wabunge wa UKAWA kususia Bunge la Katiba kulitokana na Ukosefu wa Elimu, ndio sababu sasa wataingia 'darasani' miaka mitatu

    Kwa Kawaida Mtu aliyeelimika na anayejua Katiba ni nini hawezi kususia Mjadala wa Kibunge wa kutengeneza Katiba. Mtu aliyeelimika ataelewa wazi Ukishapokea posho unaposusia Vikao ni lazima uwarejeshee Walipa kodi Fedha zao vinginevyo wewe ni mwizi unayepaswa kushtakiwa. Mtu aliyeelimika...
  2. R

    Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!! Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale...
  3. Mpinzire

    Rais Samia alijifunza nini akiwa Makamu M/Kiti wa Bunge la Katiba 2014?

    Ki ukweli nimesikiliza hotuba ya Mh Rais Samia leo kwenye mkutano na wadau wa Demokrasia nimekosa jibu la moja kwa moja kuwa licha ya kuwa Rais Samia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 bado haikulitumia kama funzo bunge lile! Maswali ninayo jiuliza leo hii! 1. Rais...
  4. B

    TBT: Mwaka 2014 TEC na Jukwaa la Kikristo Tanzania liloagiza kusitishwa Bunge la Katiba baada ya ccm kupora mchakato mzima.

    Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa...
  5. Imalamawazo

    Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha...
  6. S

    Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  7. M

    Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  8. J

    Turudi nyuma kidogo, ilikuwaje CHADEMA wakasusa katikati ya bunge la katiba?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu kubwa ya kususa ilikuwa ni kutokubaliana na CCM juu ya muundo wa Mungano, wakati CHADEMA wakitaka...
  9. Kakke

    Bunge la Katiba: Samwel Sitta na Samia Suluhu wawatwishwa wajumbe 30 zigo zito

    Na Mwandishi wetu | 15th July 2014 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo watakaoshiriki katika kikao cha kamati ya Mashauriano kitafachofanyika Julai 24 na 25 mwaka huu, katika...
  10. Pascal Mayalla

    Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

    Salaam, Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya. Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni TBC-1 kesho saa 1:30 usiku. Please Watch. Pasco. NB. Vipindi hivi vitakujia kila siku saa 1:30 TBC-1...
  11. L

    Je, Bunge la Katiba lina mamlaka ya uwakilishi wa wananchi?

    Wanajamvi, Ninawasiwasi juu ya Bunge la katiba, kwanza kwasasa bunge la Jamuhuri na baraza la wawakilishi ni makundi kati ya makundi mengine katika jamii na mkataba wao kwa wananchi ni kuwawakilisha. Sasa majukumu haya mazito kwanini wanapewa bure na Rais na si wananchi kwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom