hayati dkt. magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. OKW BOBAN SUNZU

  Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

  Tunaendelea..... Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu. Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
 2. T

  Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

  Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu. Mfano: 1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa...
 3. My Son drink water

  Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

  Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
 4. W

  Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

  Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi. Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
 5. Sandali Ali

  Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

  Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani? 1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais? 2. Zilitoka CCM makao makuu? 3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu? 4. Zilitoka...
 6. Red Giant

  Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

  Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
 7. Elitwege

  Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

  Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali. Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa...
 8. J

  Kwa namna walioachwa na Mwendazake wanavyotaabika, ni dhahiri wateule awamu hii watajilimbikizia mali

  Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa. Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni. Cheo ni dhamana kwa kweli. Akina Halima James Mdee...
 9. Sandali Ali

  Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

  Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
 10. Q

  Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

  MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
 11. NKWENYE

  Rais Samia na viatu vya Hayati Dkt. Magufuli

  Habari ndugu zangu, poleni na makali ya tozo. Niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kuondoka mpendwa wetu JPM kwa hakika moja ya swali zito lililokuwa liko kwa waombolezaji wote ni kuwa, je, Nani atavaa VIATU VYA baba na vimuenee? Kwa kuwa Mungu ndiye mpangaji basi ikampendeza Mungu kuwa...
 12. W

  Kwanini mnatamani Rais Samia awe Bora kuliko Hayati Dkt. Magufuli?

  Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!! Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini Tozo si maono yake Barakoa na chanjo si maono yake Kesi ya mbowe si maono yake Kuhojiwa Gwajima si maono yake Bei za mazao si maono yake Hivi ni nini kinaendelea nchini kwa...
 13. BestOfMyKind

  Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

  Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
 14. Kinuju

  Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

  Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
 15. Nyani Ngabu

  Kwanini mpaka sasa hajaulizwa kwanini Serikali yake ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

  Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam. Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
 16. P

  Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

  Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo. Ila sasa sijui nchi...
 17. M

  Kutoka moyoni bila unafiki, Magufuli bado yupo vichwani mwa Watanzania

  Habari wana jamvi, Kiukweli nimevumilia nimejikaza lakini nimehemewa acha niseme ukweli tu. Mzee baba Magu Watz mpaka sasa wanaumia na nimeliona hili kila Mara katika Moshe zangu na safari za hapa na pale. Afu sasa cha kushangaza mpaka watoto, cha ajabu wakisikia mazungumzo yanayo muhusu...
 18. Nyankurungu2020

  Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

  Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
 19. Mashimba Son

  Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

  Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
 20. M

  Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

  Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita Hayati Magufuli atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka...
Top Bottom