Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

Imalamawazo

JF-Expert Member
Jul 27, 2021
1,342
3,235
IMG_8146.jpeg

Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023.

Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: Wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja.

Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?
 
Katiba Sitta na Samia hafia. Mchakato uanzie kwenye Rasimu ya Judge Waryoba!
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Ndoto za alinacha
 
IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?
Hamna namna zaidi ya kuuvunja. Ni bora mwarabu atushtaki kwa kuvunja legitimate expectations kuliko kusubiri adai fidia ya uwekezaji wake.
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Mwinyi amedhamiria awe Rais Kamili sio wa sweta la muungano.

Naiona Dhamira ya Mama na Hussein Mwimlnyi hawataki dharau
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
Duh...!. huyu jamaa...
P
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Ikiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!
 
Back
Top Bottom