Search results

  1. Lameckjr

    Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  2. Lameckjr

    Mbezi mwisho siyo pa kuishi "Domo zege's"

    Heri ya Mwaka mpya wakuuu, Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma). Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
  3. Lameckjr

    Simoni Magus na makanisa ya leo

    SIMON MAGUS NA WACHAWI KANISANI! Simon Magus alikuwa ni mchawi kutoka kabila la Samaria aliyeingia Ukristo baada ya kufufuka kwa Yesu. Kabla ya hapo alitumia uchawi wake kama biashara akiwalipisha watu ili kuwapatia miujiza. Alipokutana na Mtume Petro aligundua kuwa Petro alikuwa na nguvu kubwa...
  4. Lameckjr

    Natafuta ngozi za Ng'ombe/sundry cow hide

    Habari wadau!! Mimi mfanyabiashara (exporters) nina mteja wangu, anahitaji ngozi ya ng'ombe/sundry cow hide Kama cntr 4 ×40ft Kama mnajua wauzaji hapa Tanzania, pls naomba mnielekeze 0768464901
  5. Lameckjr

    Natafuta machines ya kununua (Backhoe) used

    Habari wakulungwa Niko dsm, Natafuta backhoe, used ya kununua It is urgently pls Tuwasiliane 065-932-5453
  6. Lameckjr

    Contract wa EACOP

    Habari wakulungwa , Naomba kufahamu jina la contractors wa huu mradi wa EACOP, Lakini pia naomba kufahamu huyu EALS naye ni nani kwenye huu mradi maana sielewin, nimejaribu kuugogle but sijapata majibu takwa, Asanteni sana
  7. Lameckjr

    PCCB usaili Dodoma

    Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
  8. Lameckjr

    Nalia na Utumishi

    Habari zenu wadau, Jamani nimeandika huu ujumbe maana sasa imekuwa kisanga kwanza ni mwaka sasa nahangaika na mfumo wa ajira portal bila mafaniko na kila nikiwapigia siimu hawapokei, nourishing kipipigwa block tu. Nimejaribu kwenda pale DSM, posta kwenye ofisi za utumishi nikaambiwa niende...
  9. Lameckjr

    Nimepata scholarship, serikali inaweza kunisaidia?

    Habari zenu wadau, Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu Masters degree in supply chain management Westford University Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500 Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship? Na kama inaweza je...
  10. Lameckjr

    Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  11. Lameckjr

    Nataka kujifunza software ya ERP (Enterprise Resources planning)

    Habari zenu wakuu, Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
  12. Lameckjr

    Nani aliipata kazi BARRICK GROUP

    Habari wakulungwa Leo katika pitapita zangu kwenye email zangu nikakutana na email 📧 niliambiwagwa nijiandae kwa virtual interview, lakini mpaka Leo Mwezi wa Tano Lakini nakumbuka hilo Tangazo lilikuwa linahitaji watu kibao wa logistics, marketing na sales nk Nimeona niulize vipi kuna mtu...
  13. Lameckjr

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi Mtumishi wa Mungu, Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi Kwenye zile nafasi za procurement na field officer
  14. Lameckjr

    Ofisi za Sunda International zinapatikana wapi?

    Habari zenu wadau!! Naomba mtu anayefahamu ofisi za Sunda International, kampuni hii ya Kichina inayojishughulisha na mambo ya transport and logistics Asanteni
  15. Lameckjr

    Naomba anayejua hii mitaa ,ottawa Street

    Habari zenu wadau, Naomba mtu anayeishi Abbeyhill ,ottawa Street nchini Canada, nina shida moja hapa Natambua humu kuna watu mbalimbali na maeneo mbalimbali
  16. Lameckjr

    Naomba Connection ya mtu aliyepo WFP Tanzania

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo! Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku. Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale shirika la chakula Duniani (Tanzania) WFP hasa kitengo cha ajira. Lengo ni kuwa niweze kuteta naye...
  17. Lameckjr

    Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

    Wakuu habari zenu! Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection. Asante.
  18. Lameckjr

    Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

    Kama ilivyokawaida yangu wikiend nikiwa bored ilikuwa ni kawaida kabisa kucheki boda boda au uber afu na drop maeneo ya Bata Batani Ilikuwa the same case kuna demu flani nilikuwa namsuburi mageto, na nilikuwa na hamu naye sana lakini sasa alichelewa sana nikaona isiwe case ngoja niende zangu...
  19. Lameckjr

    Taratibu za kufuatwa kwenye real estates Business

    Habari zenu Watanzania wenzangu na Wengine pia!! Naomba kufahamishwa ni Taratibu zakufuatwa ili mtu afungue real estate agent business ( uwakala wa kuuza na kununua viwanja, Mashamba na Nyumba) Nitafurahi zaidi akijitokeza Yeyote anayefanya hii ishu, ili anieleweshe zaidi!! Asante na Mungu...
  20. Lameckjr

    Transport officer /nipeni dili

    Habari wakubwa wa kazi, Mimi ni mbobezi wa taaluma ya usafirishaji, nikijikita zaidi katika usafirishaji wa aridhi (land transport) nikiwa na taaluma ya GPS tracking, Nipeni mchongo wa kazi wakubwa. Mtaa mgumu sana huu.
Back
Top Bottom