mademu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo namna ya kufanya ili mademu wenye makalio makubwa wasikufirisi na vizinga

    Kwanza tambua hauko peke yako na wewe sio baba yake. Then jua namna ya kucheza na saikolojia na sio hisia zake Hii ndio njia ya kufaidi MAKEBO bila ya kugharamika sana. Akikuomba pesa mpatie 10,000 leo, then mwambie "ila bebi navyokuona na shepu yako hio nikikufungulia duka la nguo utauza...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani.. Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege.. Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma...
  3. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo mademu wameondoka mapema siendi na mtu

    Nakula vyangu tu hapa
  4. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

    Hlw Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  6. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hakuna pahala dola imeonekana kuwa chanzo cha utekaji. Yaani kina Soka na Polepole walijiteka au?

    Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi. Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona? Hii ripoti ni mali ya Rais
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Unyunyu, Utuli, Manukato na Uvumba. Nimechoka kutakwa na Mademu nawashauri nanyi ....

    Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu. Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini mademu wa pale riverside wana scabbies

    Aisee nimewashwa mwili mzima wiki 2 hadi nikatumia ile dawa kama maziwa ndio nimepona duh
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mademu wamekua cheap sana siku hizi.

    Yani imefikia point mtu anaforce mwenyewe kukuletea mzigo. Noma sana hii.
  13. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo nimenusurika kuuwawa kwa kugongwa hapa Australia kisa Wivu wa wanaume kwa mademu, midemu mitamu sana

    Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine) Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu Nikaanza ku move around ili...
  14. Stability

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna mtu mwenye access ya kupata chochote au kufika mahali popote zaidi ya mademu wenye mishepu yao

    Ogopa mtu anetungiwa bajeti ya peke yake😂😂 Wameiteka dunia na wala hakuna makalio makubwa yoyote atakaye onja umasikkini
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maturity ni pale unapogundua kufukazana na mademu ni ushamba na self exploitation

    Sex ni tamu ila haimanishi ndio mwisho wa hamu zote. Watoto wanadatisha lakini haimanishi ndio ujizime data. Nafsi yako inastahili zaidi ya kuhangaishana na milupo ila mtalimbo wako unakuaminisha hauwezi ishi bila matako. ++JASUSI COHEN++
  16. D

    JamiiForums Tanzania Chungeni wake zenu au mademu zenu. Leo wanajeshi na walimu wamepata midhahara yao.

    Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

    Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mademu wa dar wanapenda kuwa spoilt sana

    Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣 Anyway, Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura za baba zao ni watamu zaidi

    Naomba nijielekeze kwenye mada husika. Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao. Kundi hili la wanawake hawana fujo sana kwenye profile zao. Utakuta wameweka neutral profile ambazo hazina nasibu na sura zao kama...
Back
Top Bottom