chimbo

Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.

View More On Wikipedia.org
  1. Brex2

    Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  2. MR CHAGGA

    Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

    Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
  3. Fazz

    Mwenye kujua chimbo la bando tafadhali

    Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini please mwenye chimbo msaada
  4. Rafiki Electrical

    Chimbo la vifaa vya umeme

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical & Tech Solutions ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA ZA JUMLA NA REJAREJA💫 Tupo Kwa Ajili Yako💡 ✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA, VIWANDA, UMEME WA NYUMBANI, VISIMA, MOTORS N.K JUMLA NA REJAREJA Tupo Dar es...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Chimbo la Unyunyu, Utuli, Manukato na Uvumba. Nimechoka kutakwa na Mademu nawashauri nanyi ....

    Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu. Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa...
  6. Rafiki Electrical

    Chimbo la vifaa vya umeme Tanzania

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical Solutions 🤝 ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Kwa Mahitaji ya Vifaa Vya Umeme Bora na Vya Ukakika (Original) Rafiki Electrical & Tech Solutions Tupo Kwa Ajili Yako💡✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA...
  7. Arsenal Gunner

    Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

    Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  9. Kipenzi Changu

    Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  10. Khanji kapoor

    Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  11. K

    Niko Babati Manyara, nipeni chimbo la bata

    Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata
  12. emmarki

    Naombeni chimbo la pumba Dar

    Kwa dar es salaam wapi ni chimbo la kupata vyakula vya mifugo kama pumba na mashudu kwa wingi?
  13. Kyambamasimbi

    Wakuu nahitaji remote control ya Projector Epson anayejua chimbo tafadhali p

    Habari wanajf. Kichwa Cha habari kinajieleza.
  14. kavulata

    Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  15. Equation x

    Wapi chimbo lenye vaibu leo?

    Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo? Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio 8 8 tunaianza hivyo; asiyelima na asile.
  16. Jackal

    Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  17. yello masai

    Chimbo la Sinza.

    Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu. Mwenye details zozote kuhusu hili chimbo alete tuone kama kunachimbika au vp.
  18. J

    Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
  19. screpa

    Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  20. M

    Msaada chimbo la mizani aina yote

    Habar wakuu nauliza kwa anaejua chimbo la mizani aina yote atoe muongozo
Back
Top Bottom