naacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  2. Unique Flower

    Naacha ujinga

    Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious. Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
  3. Expensive life

    Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

    Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
  4. Komeo Lachuma

    Leo kutawaka moto...

    Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee. Maandalizi yake ni bab kubwa.
  5. Lameckjr

    Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  6. Chawa wa lumumbashi

    Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

    Unjani sabuwona. Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha. Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life...
  7. Maghayo

    Wanajamvi naacha wosia na nyinyi ni mashaidi

    Mzuka wanajamvi! Naapa Raila Odinga akishinda huu uchaguz nchini Kenya natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Hafiii mtu hapa!
  8. K

    Kauli ya Tulia juu ya Mamlaka aliyonayo Rais wa nchi haikuja kwa bahati mbaya, ni fadhila baada ya kuhakikishiwa

    Kwa jinsi alivyozungumza Tulia (NS) jana wakati wa kuapishwa viongozi/Mawaziri wapya ni dhahiri shahiri kuwa aliandaliwa makusudi kuongea vile baada ya kuhakikishiwa nafasi ya "Mzee wa nina file milembe mimi"'. Ili halina shaka kabisa na ni wazi, ndio maana badala ya Tulia kuzungumzia...
  9. M

    Katika Kikosi Kijacho cha Simba SC nisipokuwa nawaona hawa Wanaanza na hawa Wanasubiri naacha Kuishabikia rasmi

    Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali... 1. Kibu Denis 2. Osmane Sakho 3. Yusuph Mhilu 4. Jonas Mkude Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench.... 1. John Boko 2. Meddie Kagere 3. Chris Mugalu 4. Thadeo Lwanga Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
  10. Mtoto wa nzi

    Naacha Ugimbi nabaki na Ganja

    Nimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
  11. TIASSA

    Naacha Pombe kuanzia leo

    Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
  12. technically

    Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida. Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
Back
Top Bottom