safari yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wowote kuhusu safari yangu ya muziki, sikutegemea itakua ngumu kiasi hiki

    Asee ndugu zangu mnaweza ona nazingua lakini si kweli wakuu, inafika hatua nashindwa kabisa, nilifikiri ni sana lakini mambo nayaona tofauti MNO. Nahitaji kushare mawazo na nyie ndugu zangu labda kwa chochote mana naona naelekea kushindwa. Payments za kurekodi na video shooting, zilikua...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuelekea safari yangu ya mziki, jana nikakutana na mchambuzi mkubwa Afrika, Hopetyga tz

    Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye. Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana

    LEO TUTOKE KWENYE NDUMBA NA VIMBOLA, NGOJA TUPIGE STORY WAKATI NIPO YANKII. Nyieeh 😁😁😁🙈 yaani nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana. Basi nakumbuka ilikuwa mwaka 2021 natoka zangu Mozambique sehemu moja inaitwa (0D), waliofika huko wanaijua ni machimboni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  6. NassoroTechtz

    JamiiForums Tanzania SAFARI YANGU: Nassoro Hemedi Kilimbite na Mapambano ya Nassoro TechTz – Huduma za Computer, Madishi na Mifumo ya Kidijitali

    Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums. Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  8. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Masters, Changamoto na Ushindi

    Mwaka juzi, kama mwezi wa kumi, nilikuja hapa JamiiForums kuomba ushauri kuhusu kusoma Masters mara tu baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza. Asilimia kubwa ya wadau waliniponda. Baadhi waliniambia, “Another jobless”, wengine, “Degree ya kwanza haijakulipa, unatafuta nyingine?” Lakini...
  9. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya brother mmoja kutoka Mbeya (Ngoja nimpe jina, naomba tumuite brother Imma) Huyu Imma bwana kajenga...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  11. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

    Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia. https://www.jamiiforums.com/threads/naumwa-sana-nimefika-pemba-ili-nitibiwe-kienyeji-naombeni-msaada-wa-mtaalamu.2298569/ Sasa baada ya kushuka bandarini (Mkoani) nilipanda gari (coaster) ya...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania My Last Ride; Safari yangu ya Mwisho.

    MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO. Mtunzi; Robert Heriel +255693322300 Episode 01. Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa kweli ningefanya dhambi zote, zote! Lakini sio dhambi ya kumwaga damu ya Mtu. Haya sasa nini...
  13. refan

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Betting!

    SAFARI YANGU KWENYE BETTING! Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale pale kuwa sikutarajia kukuona upo side hiyo😂 aliishia kucheka. akanitania kwa kusema ananipa 2months...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana. Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

    Heshima kwenu wakuu! Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa... Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza saa2:30. Gari ilikuwa na changamoto kadhaa hasa kuharibika na Hadi kufika saa9 arasiri nikawa nimewasili...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection. Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
Back
Top Bottom