Search results

  1. Mzukulu

    Nani alikudanganya kuwa CCM na Polisi Tanzania hawana Vinasaba vya Undugu, Mshikamano na Ushirikiano?

    ULINZI WAIMARISHWA DODOMA: Dodoma: 07 Julai, 2020 Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama. Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
  2. Mzukulu

    Kama kuna tabia za abiria wa Daladala hasa za Dar es Salaam ambazo huwa zinanichukiza sana ni hizi kuu mbili tu...

    1. Wengine kila tupandapo Dala Dala ikitokea tumebahatika Kukaa Siti Moja na Abiria wa Kike Kutongoza / Kumtongoza ni Jambo la lazima mno kama Israeli na Roho ya Binadamu. Sasa huwa inakera zaidi pale Mwanamume unapoanza Kutongoza halafu unakuta Abiria wa ama Siti yako ya mbele au ya nyuma nae...
  3. Mzukulu

    Je, Kampeni Meneja wa huyu si kila mara atakuwa anacheka tu kwa Vituko vya Uchekeshaji alivyobarikiwa navyo Boss wake?

    Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni DarMpya Kwangu Mimi...
  4. Mzukulu

    Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

    Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu...
  5. Mzukulu

    Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

    Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
  6. Mzukulu

    Uchaguzi 2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  7. Mzukulu

    Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  8. Mzukulu

    Kama hili litakuwa ni la kweli basi sasa naanza Kuamini kuwa Roho Mkatatifu ameshakita Kambi ndani ya TBC

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayoub Rioba amesema chombo hicho cha habari hakibagui chama chochote cha siasa katika kurusha matangazo. Dkt. Rioba amesema kuwa chombo hicho cha umma hakibagui chama bali wanatimiza wajibu wa kuwahabarisha wananchi kama inavyopaswa na sio kukaa kwenye mrengo...
  9. Mzukulu

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  10. Mzukulu

    Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
  11. Mzukulu

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete atunukiwa medali kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi

    Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi. Chanzo: ForeignTanzania Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
  12. Mzukulu

    Ni kwanini Mwanamke akiwa katika Shock yoyote tu ile ni lazima ataanza Kublidi?

    Nini husababisha hii hali kwani sijaanza Kukutana nayo juzi, jana au leo kutoka kwa Wanawake ambao huwa nakutana nao hasa katika Matukio ambayo muda mwingine huleta Mshtuko kama Ajali au Taarifa za Misiba. Na kuna Mmoja nakumbuka akiwa Kanisani kabisa kwa Kutokuamini kuwa Siku hiyo alikuwa...
  13. Mzukulu

    Kwanini Mwenyekiti Taifa wa CCM anaogopa Watu Kuchafuana na Kupeana maneno ya Shombo Kipindi hiki cha kuelekea Kuanza kwa Kampeni za CCM?

    Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya. Kwanini Mwenyekiti...
  14. Mzukulu

    Kenya: Mama aua wanae wanne, asema Mahakamani kuwa alivamiwa na nguvu za giza

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri wakati anatenda unyama huo. Ndiyo maana Sisi wengine...
  15. Mzukulu

    Pale mume mkomoaji naye anapokutana na wanaume wanaojua kukomoa zaidi yake

    Lawrence Ripple, alienda kuiba benki, lakini baada ya kuiba aliendelea kubaki hapo akisubiri kukamatwa na Polisi. Alipokamatwa na kuhojiwa alidai ni bora akaishi jela kuliko kuendelea kuishi na mke wake mkorofi, baadaye alihukumiwa kifungo cha kukaa nyumbani kwa miezi 6. Chanzo...
  16. Mzukulu

    SAUT wameanza kwa mfano huu bora naomba sasa UDSM, Mzumbe, CBE na hasa hasa IFM nanyi Muwaige

    Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT), Mwanza kimewafuta kazi wahadhiri watatu kwa makosa ya kujihusisha na rushwa ya ngono na wanafunzi kwa nia ya kuwapa upendeleo kwenye mitihani. Chuo hicho kimesema vitendo hivyo havikubaliki na kuwataka wanafunzi kuendelea kuvifichua. Chanzo...
  17. Mzukulu

    Nini kimepelekea Panya Mjanja wa Mtandaoni Kiboko ya Paka Mbishi wa Magogoni kutoweka ghafla?

    Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe...
  18. Mzukulu

    Ukijijua kuwa umeharibu katika Serikali ya Awamu ya Tano na unataka kutumbuliwa, basi umwonapo tu Mtumbuaji Mkuu ongozana na Askofu, hakutumbui ng'o!

    " Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais @MagufuliJP Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini...
  19. Mzukulu

    Ni kwanini katika Misiba ya Watu Maarufu au hata Wake zao au Wapenzi Wao Ugonjwa huu huwezi Kukosa Kuusikia ukinong'onwa na Wahudhuriaji?

    Ugonjwa wenyewe unajulikana Upungufu wa Kinga ndani ya Mwili wa Binadamu na Mpiga Kura halisi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2020 Tanzania.
  20. Mzukulu

    RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

    Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao...
Back
Top Bottom