Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe.

Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!
 
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!

Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.

Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.

Kama sikosei.

Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.

:)
 
Kwani una maslai na uyo dada mbona kama unamfatilia kwa undani?

Hakuna Kipindi cha Michezo nisichokisikiliza 24/7 katika nchi hii Ndugu na kwa huyu Prisca Kishamba amezidi Kumtaja Mfungo Patrick tu pekee.
 
Mtangazaji Prisca Kishamba angekuwa anapenda Ushiriki wa Wasikilizaji mbalimbali asingekuwa kila Siku anamtaja tu Mfungo Patrick wake sawa?
 
Anachapwa na Waziri Mmoja hivi Mwandamizi kabisa wa Awamu hii ya Magufuli na mwenye Wizara Changamfu sana iliyo na Uzandiki pia vile vile.
Dah bongo raha sana,ushaweka ubuyu tayari....mzee wa tasnia sio? Dah hela/vyeo hivi. Chochote unapewa.

Ngoja nikachukue fomu
 
Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.

Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.

Kama sikosei.

Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.

:)
Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu😂
 
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!
Ila watu,wivu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom