Search results

  1. La Quica

    Post nut clarity is real

    So huyu dada anaishi modest/humble family/background (nikisema modest i mean kwa tafsiri ya kiswahili ni kama familia maskini). She works for me. Anakuja kufanya usafi na kufua (as known kama mamafua here in KE). Leo amekuja na I was drinking (I am off duty) so kuna siku niligundua anavaa...
  2. La Quica

    Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  3. La Quica

    Mtoto wangu ananishangaza

    Niaje wakuu Tusichoshane. Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea. Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa. Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila...
  4. La Quica

    Kwa wale tuliosoma Cuba

    Wakuu naomba kuuliza. Hii kauli ya kusoma Cuba ime trend sana mitandaoni. Unfortunately mimi sio mtumiaji wa mitandao sana. Huwa natumia JF na pia JF huwa sio regular user, naweza kupotea miezi hata mwaka ndio nikaja tena kutumia. Huu msemo wa kusoma Cuba nimekuja kuukuta ila huwa natamani...
  5. La Quica

    Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

    Mambo yasiwe mengi. Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF. Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au...
  6. La Quica

    Nimeamua kuachana naye baada ya kuniambia maneno haya

    Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub. Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number...
  7. La Quica

    Big Brother Naija Season 7

    Wakuu humu ndani hamna wapenzi wa BBN? Naona season hii kuna washiriki wazuri kweli na wameweka level mbili naona shindano la mwaka huu litanoga sana. Mpaka sasa housemates wanao make headlines kwenye level one ni Bella na Sheggz. Kwenye level two Phyna ni wa moto sana. Mimi binafsi...
  8. La Quica

    Uzi wa Kutafuta Hela

    Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa kiswahili). Mfano. 1. Tafuta hela gas inaivisha maharage 2. Tafuta hela pisi kali zinalika na kila...
  9. La Quica

    Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  10. La Quica

    Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

    Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi...
  11. La Quica

    Rugemalira afungua kesi Mahakamani dhidi ya Standard Chartered Bank na wengine

    Wanasheria mtatusaidia kufafanua zaidi kuhusu hii summons. IN THE RESIDENT MAGISTRATE'S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU. MISCELLANEOUS CRIMINAL APPLICATION NO. 29 OF 2021. BETWEEN 1. JAMES BURCHARD RUGEMALIRA -...
  12. La Quica

    Mama achinja wanea wawili na kisha kujiua.

    Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu amewachinja watoto wake wawili kwa kisu kisha yeye mwenyewe kujiua. Zaidi tazama video. 👇
  13. La Quica

    Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  14. La Quica

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  15. La Quica

    Tafakari: Funika aibu zao na sio kuwaaibisha

    Baada ya kusafisha na kupanga nyumba yangu, kaka yangu alinipigia simu na kuniambia, "Mimi na mke wangu tunakuja kukutembelea." Nilienda jikoni kuwaandalia kitu, lakini sikuweza kupata chochote cha kuandaa. Baada ya kufikiria sana na kupekua, nilichoweza kukiona ni machungwa machache. Kwa...
  16. La Quica

    Kubadili Course nikiwa Chuoni

    Wakuu habari za leo. Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law. Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD. Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu...
  17. La Quica

    Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  18. La Quica

    Utofauti kati ya watu wa Dar (Mijini) na watu wa Mkoani ndio huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  19. La Quica

    Ni weekend ya heshima kwenye soka

    1. Man City 83' 2. Manchester United 71' 3. Chelsea 67' 4. Liverpool 66' 5. Leicester City 66' 6. West Ham 62' [emoji117]Bado mechi 1 kwa kila timu! Fixture ipo hivi Leicester city Vs tottenham West ham Vs southampton Aston villa Vs Chelsea Liverpool Vs crystal palace Manchester united na Man...
  20. La Quica

    Keep Your Thoughts Positive.

    Keep your thoughts positive, because your thoughts become your words. Keep your words positive because your words become your behaviours. Keep your behaviours positive, because your behaviours become your habits. Keep your habits positive, because your habits become your values. Keep your values...
Back
Top Bottom