dangote

Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire businessman, and the owner of the Dangote Group, which has interests in commodities in Nigeria and other African countries. As of January 2020, he had an estimated net worth of US$10 billion.Dangote is ranked by the Bloomberg Billionaires Index as the 88th-richest person in the world and the richest man in Africa, and peaked on the Forbes list as the 23rd-richest person in the world in 2014. He surpassed Saudi-Ethiopian billionaire Mohammed Hussein Al Amoudi in 2013 by over $2.6 billion to become the world's richest person of African descent.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je ni kweli unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha Dangote Mtwara minimum mifuko 20 na kuletewa popote Tanzania?

    Mara kadhaa nimeona tangazo mtandaoni kwamba unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha tajiri Dangonte mtwara kupitia app na kuletewa popote Tanzania ,mifuko kuanzia 20 kwa bei rafiki ya kiwandani. Je ni kweli au matapeli?
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Rema: Nilijihisi maskini nilipokula sahani moja na Dangote

    Msanii wa muziki wa Afrobeats kutoka nchini Nigeria, Rema, amefichua kuwa moja ya matukio makubwa ambayo hayatawahi kumtoka akilini ni pale alipopata nafasi ya kukaa na kula chakula pamoja na bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote. Akizungumzia uzoefu huo, Rema ameeleza kuwa tukio...
  3. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ruto Thanks Museveni for the Role He Played in Talks with Dangote

    Kenyan President William Ruto has thanked President Yoweri Museveni for what he described as his role in advancing investment discussions involving businessman Aliko Dangote. Speaking at the event, Ruto credited Museveni’s “vision” for helping move the discussions forward. “I want to thank our...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Museveni aeleza kutaka kujua kilichokwama katika mpango wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote Tanga

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema atafuatilia kujua kilichotokea kuhusu mpango uliopendekezwa wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote (Dangote Oil Refinery) mjini Tanga, Tanzania. Museveni amesema mazungumzo kuhusu ujenzi wa kiwanda hicho yalikuwa yamefanyika kati yake na...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  7. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda East African leaders gather for groundbreaking of Dangote oil refinery in Lamu

    Video: President Yoweri Museveni joined Kenyan President William Ruto, Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed and other regional leaders in Lamu, Kenya, today on Wednesday, September 30, 2026, for the groundbreaking of the $16 billion Dangote East Africa Oil Refinery. The refinery, to be built...
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WANAOTAKA KUTULETEA SHIDA, TUKO TAYARI" - Dangote Atoa Ujumbe Kwa Waliokwenda Mahakamani Kupinga Refinery ya Lamu

    Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo. Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu, Kenya: Sio refinery tu! Dangote asema mradi huo utazalisha hadi 1,000MW za umeme

    Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa. Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote. Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Dangote wafika dola bilioni 50

    Baada ya kuingiza kampuni yake ya mafuta kwenye soko la hisa utajiri wa Aliko Dangote wapaa kutoka dola 30 bilioni hadi dola bilioni 50. Kila la kheri kwake, azidi kuwekeza Afrika.
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania "Imekuwa Muda Mrefu Nilikuwa Namtaka": Maneno ya Tiffah Yaliyomtoa Machozi ya Furaha Diamond na Zuchu

    Tiffah Dangote, alipata fursa ya kutoa pongezi na kueleza furaha yake kubwa ya kupata mdogo wa kike baada ya kusubiri kwa muda mrefu. "Congratulations on the baby. Now I have a baby sister, it's been like a long time I wanted them. And I'm gonna play with her like all the time and I'll take...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Usiku wa henna; Mama dangote na Khadija Kopa wafanya kweli kwa zuchu kuziba vijimaneno vya waja

    Katika kuonyesha mshikamano na kuvunja uvumi wa mara kwa mara kuhusu uhusiano wao, mama mzazi wa msanii Diamond Platnumz, Sanura Kasimu (Mama Dangote), pamoja na malkia wa Taarab Khadija Kopa na binti yake Zuchu, waliteka hisia za waalikwa baada ya kujumuika na kucheza kwa furaha ya pamoja...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya refinery ya Dangote.

    Dangote ameiheshimisha sana Afrika. Refinery yake kwa sasa inachakata mapipa 700,000 kwa siku. Kwa miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu imetengeneza faida ya dola 1.8 bilioni. Kwa mwezi huu na mwezi ujao watauza hisa. Inaingia sokoni kama kampuni ya gharama zaidi kuwahi kuuza hisa Afrika. Gharama...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

    Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda...
  18. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Dangote kuanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Kenya mwezi wa kumi 2026

    Tajiri wa Africa Dangote amesema kiwanda kitaanza kujengwa mwezi wa kumi mwaka huu. Je kwetu ujenzi utaanza lini? wakianza hata kusogeza kipande cha jiwe mniambie.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Vitol Bahrain A.c ni partner mkubwa wa Dangote. Samia asidhani anamkomoa kujenga refinery Tanga

    Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi. Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani...
Back
Top Bottom