Big Brother Naija Season 7

Big Brother Naija Season 7

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,335
Reaction score
3,140
Wakuu humu ndani hamna wapenzi wa BBN? Naona season hii kuna washiriki wazuri kweli na wameweka level mbili naona shindano la mwaka huu litanoga sana.

Mpaka sasa housemates wanao make headlines kwenye level one ni Bella na Sheggz.

Kwenye level two Phyna ni wa moto sana.

Mimi binafsi nawapenda housemates wa level two (trenches) maana wana vibe sana kuliko wa level one (islanders).
 
Ni hatari. Nawachungulia hapa mida hii. Naona Sheggz amemganda Bella kinoma anakaba mpaka penalty.
20220801_173526.jpg
 
Kweli JF Kuna Kila kitu Mimi ni mpenzi wa BBA Naija lakini this season inanipita majukumu yamezidi, nimeikumbuka season iliyopita winner alikuwa white money sijui karudi mjengoni? Kwenye hii reunion
 
Kweli JF Kuna Kila kitu Mimi ni mpenzi wa BBA Naija lakini this season inanipita majukumu yamezidi, nimeikumbuka season iliyopita winner alikuwa white money sijui karudi mjengoni? Kwenye hii reunion
Hajarudi. Ila season hii ni hatari kuna level 2 na hii ni week ya pili hajatoka mtu Biggie kaongeza watu wanne wengine
 
Back
Top Bottom