Joline
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 3,848
- 6,373
Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweliHamna wanaume wachache,wanaume mnaowataka ndiyo wachache,wanaume wenye Mali na warefu Weusi ndiyo chanzo cha kugongwa na kuachiwa kitoto