Hapa sio mwana, umezaliwa na mwanamke. Mengine kwenye hizi comments ni hatred of female rather than kupeana alert. Hatuishi hivyo mkuu.

unaonekanwa hayjakukuta. Sijui wazamani, ila wa zama hizi 99.9% ni mashetani.
 
angalizo,
unapokua na mahusiano na single mother kuwa njee ndani. usimuamini wala kuwa na future nae piga mbupu tu, kwasababu huwa hawajui washike lipi na waache lipi
 
unaonekanwa hayjakukuta. Sijui wazamani, ila wa zama hizi 99.9% ni mashetani.
Nimepitia mahusiano na single mother ila tulishaachana naye, nakumbuka hadi kumsomesha nilimsomesha ila alinibadilikia vibaya sana na kuja kunionyesha highest level of disrespect alipokuwa anakaribia kumaliza masomo. Ila yalishapita, sioni haja ya kucondemn na wengine ambao mimi siwajui na sijawahi kuwa kwenye mahusiano nao. Sisi ni wanaume tumepewa vifua vipana na vikubwa vya kubeba mengi, hivyo samehe na potezea. Anavuna alichokipanda kwasasa ila still sio sababu ya kumuombea mabaya au kumlaani isipokuwa namuonea sana huruma.
 
Mjadala ufungwe kwa comment hii, wadada wamejenga taswira za aina ya wanaume wanaowataka ambao kiuhalisia ni wachache sana. Sisi tusio nacho hawatutaki, hence wanapigwa mimba na kuachwaa.
Na huo ndiyo ukweli,wasisingizie uchache wa wanaume wala uwepo wa ushoga.
Ni tamaa zao
 
Sioni haja ya salamu

Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.

Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.

Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Kuna mjomba wangu alikuwa anasema unakwendaje kuchukuwa mwanamke ambaye ameshindwana na mwanaume? Anyways mara nyingi wanasema kusikiliza story ya upande mmoja ni hatari sana.
 
Tatizo ni sisi wanaume...unamzalisha mwanamke na unamkimbia...mwanaume kamili akimbii matatizo...

Japo na wanawake wanashida kutembea na wahuni ( wamaume wasiojitambua) kisa tu ya mionekano yao ya nje....

NB. Mwanaume aliyetelekeza mtoto huwa hawi na furaha kamwe hata akiwa na hela ni majuto nao mwamzo mwisho...bora ukizalisha mwanamke kubali tu kubeba msalaba
Hayajakukuta Mkuu,hawa viumbe wanaweza sababisha umuone mtoto wako mateso
 
Ukiona ivyo ujue umalaya na usinzi umekisiri sana huko mitaani watoto wadogo wanaendekeza ngono zembe unategemea nini aisee waache watombwe wazalishwe mpk akili ziwakae sawa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kama umemchoka tuachie sisi...
Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi....

Woooyooo!!!
 
Bonjour.

Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother.

Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.

Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.

Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.

At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
Utakuja kuoa na hutokuja jutia, vina nmetumia kudhihilisha bado unakua,

Umri ukikupaa utakuja kuwaoaa na maua yangu utanpatia.
 
Tatizo ni wanaume suruali, wasiotaka majukumu, na mabinti machepele macho juu juu tu, wakisaka macho matatu kwa udi na uvumba!
Pili ni wazazi wameacha kulea na kutoa masomo kwa watoto,Wa Toto wanalelewa, na shule na mtaa
 
Bonjour.

Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother.

Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.

Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.

Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.

At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
Matokeo ya mkutano wa beijing
 
Back
Top Bottom