RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,496
- 2,571
baada ya kukukutaSioni haja ya salamu
Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.
Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.