EU yasema Watu 100 wahofiwa kuuawa nchini Burkina Faso

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,413
5,764
Umoja wa Ulaya (EU) umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya Watu 100 kuuawa katika Vijiji kadhaa Nchini Burkina Faso hasa katika Kijiji cha Zaongo.

Marekani pia imetoa kauli ya kulaani mauaji hayo licha ya Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso kutotoa kauli yoyote hadharani juu ya taarifa hizo za mauaji ikiwa pia haijulikani nani yupo nyuma ya pazia ya matukio hayo.

Jeshi la Burkina Faso limekuwa likipambana kudhibiti Matukio ya Ugaidi ambayo yamesambaa Nchini humo na kusababisha Jeshi kuchukua raia na kuwaingiza kwenye vita dhidi ya Waasi, hali hiyo imesababisha robo ya Shule zote Nchini humo kufungwa kutokana na machafuko yanayoendelea.

=============

Burkina Faso crisis: 100 believed killed in Zaongo massacre, says EU

The European Union has called for an investigation into the reported killing of around 100 people in Burkina Faso earlier this week.

"Around 100 civilians, including women and children, were believed killed in a massacre," said foreign policy chief Josep Borrell in a statement.

The United States has also condemned the attack.

It is not clear who was behind the 6 November attack in the village of Zaongo.

Mr Borrell called on Burkina Faso's military junta to shed light on the circumstances of the deaths. It has not yet responded.

Burkina Faso is trying to contain a jihadist insurgency that spread from neighbouring Mali.

The military government has been forcing civilians to join the fight against the Islamist groups, who are said to control about 40% of the country.

About a quarter of Burkina Faso's schools have been forced to close because of the insurgency, according to aid agencies.

One resident told the AFP news agency that Zaongo was one of the few villages in the area not to have been "emptied out by the terrorists".

"Some suspected the inhabitants of collaborating with them," the resident said.

The army seized power last year vowing to stop the jihadist attacks. If anything, the number of deaths has since increased.

Last year was the country's most deadly on record, according to the US-based Armed Conflict Location & Event Data Project (Acled), with more than 1,400 civilian deaths.

So far this year, almost 8,000 people have been reported killed due to violence in the country, Acled says.
 
Hutasikia waarabu wa makunduchi kuongelea hilo. Wao wapo na Palestina tu ndio binadamu ila hao wabokinabe kwa kuwa sio wafuasi wa dini ya mnyazi mungu wacha wafe. Mapuuzi sana haya.
FB_IMG_1699796932753.jpg
 
Hutasikia waarabu wa makunduchi kuongelea hilo. Wao wapo na Palestina tu ndio binadamu ila hao wabokinabe kwa kuwa sio wafuasi wa dini ya mnyazi mungu wacha wafe. Mapuuzi sana haya.
View attachment 2812197
Lipo jinga linajiita Malaria 2, lina lugha ya ukakasi kweli liko Tanzania ambapo waislamu na Wakristo tunaishi Kama ndugu tukiheshimiana, kushirikiana na kuoleana ; lenyewe linaleta kauli ya uchochezi. Utakuta likeandika; Enyi waamini musiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki.....".

Badala ya kutumia dini kueneza upendo na kujaliana wao wanatumia dini kueneza chuki na mauaji. Very absurd.
 
Lipo jinga linajiita Malaria 2, lina lugha ya ukakasi kweli liko Tanzania ambapo waislamu na Wakristo tunaishi Kama ndugu tukiheshimiana, kushirikiana na kuoleana ; lenyewe linaleta kauli ya uchochezi. Utakuta likeandika; Enyi waamini musiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki.....". Badala ya kutumia dini kueneza upendo na kujaliana wao wanatumia dini kueneza chuki na mauaji. Very absurd.
FB_IMG_1699847853314.jpg

Wameamrishwa hivyo na mtume wa Allah aliyepata utume kwa kukabwa na mapepo kwenye lile pango pale madina.
 
Lipo jinga linajiita Malaria 2, lina lugha ya ukakasi kweli liko Tanzania ambapo waislamu na Wakristo tunaishi Kama ndugu tukiheshimiana, kushirikiana na kuoleana ; lenyewe linaleta kauli ya uchochezi. Utakuta likeandika; Enyi waamini musiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki.....". Badala ya kutumia dini kueneza upendo na kujaliana wao wanatumia dini kueneza chuki na mauaji. Very absurd.
Wakiristo mnachuki sana. Sinaonekana humu. Mkiambiwa ukweli mnaanza kusema watu wanachuki. Acheni kwanza nyinyi chuki zenu

.......
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)

......
Haya ni maandiko ya quran sio yangu
 
Hii yote ni wale mabikra 72 kule ahera na Haineken inayotiririka kwenye mito ndio inasumbua watu hivi. It's very distressing indeed.
Kuleni na mnywe kwa furaha kwa sababu ya mlivyo tanguliza katika siku zilizo pita!” (Kurani 69:24)

“… Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!” (Kurani 18:31)

MKIRISTO AKIFA KTK UKIRISTO ATAPATA KINYUME NA HAYA
 
Si uende Palestina ..ujiwahishe kula mvinyo na mizagamuano mbele ya allah....
 
Back
Top Bottom