Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

Official Account
Oct 1, 2020
58
124
Na. WAF - Dar Es Salaam

Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo.

Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Ustawi wa Jamii kutoka OR - TAMISEMI Dk. Rashid Mfaume akimuwakilisha Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika Maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

“Ili kuepukana na Magonjwa hayo inatupasa tuwe na tabia ya kufanya mazoezi, kufuata mtindo bora wa maisha ikiwemo kuzingatia ulaji wa vyakula vyetu ili kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza kwa kuwa kuna ongezeko kubwa la wagonjwa ambao asilimia kubwa ni wanawake," amesema Dkt. Mfaume.

Amesema, Saratani inayoongoza ni ya Shingo ya Kizazi kwa wastani kwenye kila Wanawake 100, Wanawake 25 wana Saratani hiyo, nyingine ni Saratani ya Matiti lakini pia Saratani ya Koo ambapo takwimu zinaonesha kuwa kati ya kila Wanawake 1,000 Wanawake 6 wana Saratani hiyo.

Aidha, Dkt. Mfaume amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa aliyoufanya katika Sekta ya Afya ikiwemo kutoa zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za ununuzi wa Vifaa Tiba katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI).

“Kutokana na uwekezaji mkubwa uliyofanyika kuna wagonjwa kutoka nchini Zambia, Comoro, Msumbiji, Burundi na Kenya ambao wanafika katika Taasisi hiyo ya ORCI kupata matibabu.” Amesema Dkt. Mfaume

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) Dkt. Julius Mwaisalage nae amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji huo anaoendelea kuufanya katika taasisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa mashine ya kisasa ya uchunguzi wa Saratani.

“Maadhimisho haya ya siku ya Saratani Duniani mwaka huu yana kauli mbiu isemayo ‘Saratani inatibika huduma sawa kwa wote’ tuzingatie kauli hii kwa kufuata ushauri wa wataalamu katika kuzingatia mtindo bora wa maisha.” Amesema Dkt. Mwaisalage
 
Watanzania na kufanya check up ni vitu viwili tofauti yani kila mtu na njia yake
 
Na. WAF - Dar Es Salaam

Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa katika kila wagonjwa watu 100 wenye Saratani 25 ni wanawake wenye Saratani ya Mlango wa Kizazi.

Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Ustawi wa Jamii kutoka OR - TAMISEMI Dk. Rashid Mfaume akimuwakilisha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu katika Maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam.

“Ili kuepukana na Magonjwa hayo inatupasa tuwe na tabia ya kufanya mazoezi, kufuata mtindo bora wa maisha ikiwemo kuzingatia ulaji wa vyakula vyetu ili kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza kwa kuwa kuna ongezeko kubwa la wagonjwa ambao asilimia kubwa ni wanawake.” Amesema Dkt. Mfaume

Amesema, Saratani inayoongoza ni ya Mlango wa Shingo ya Kizazi kwa wasatani kwenye kila wagonjwa wa 100 wa Saratani, wanawake 25 wana Saratani hiyo, nyingine ni Saratani ya Matiti lakini pia Saratani ya Koo ambapo takwimu zinaonesha kuwa katila kila wanawake 1,000 wanawake Sita wana Saratani hiyo.

Aidha, Dkt. Mfaume amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa aliyoufanya katika Sekta ya Afya ikiwemo kutoa zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za ununuzi wa Vifaa Tiba katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI).

“Kutokana na uwekezaji mkubwa uliyofanyika kuna wagonjwa kutoka nchini Zambia, Comoro, Msumbiji, Burundi na Kenya ambao wanafika katika Taasisi hiyo ya ORCI kupata matibabu.” Amesema Dkt. Mfaume

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) Dkt. Julius Mwaisalage nae amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji huo anaoendelea kuufanya katika taasisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa mashine ya kisasa ya uchunguzi wa Saratani.

“Maadhimisho haya ya siku ya Saratani Duniani mwaka huu yana kauli mbiu isemayo ‘Saratani inatibika huduma sawa kwa wote’ tuzingatie kauli hii kwa kufuata ushauri wa wataalamu katika kuzingatia mtindo bora wa maisha.” Amesema Dkt. Mwaisalage
 
Chanzo cha kansa ni kipi lakini ili tukiepuke. Nimeona melezo haya katika blogu moja je? Yanaukweli wowote?

A theory on cancer (Nadharia ya saratani):

We all live and die, but no one likes to die earlier. The same thing is with our body cells and systems none wants to die before the time is due. Both chemical and neurological environment of the body contribute to threat the cells face. When threatened to die the cells will try to evade or eliminate the threat. When the threat is so strong then the only option is to be strong, be indestructible and multiply more.

In chaotic environment where every cell is struggling to survive, every system is struggling to thrive. It happen some cells achieve greater powers to proliferate and they do so disregarding wellbeing of other cells. These cells don’t follow rules of the society and find a means to escape the death penalty for that (apoptosis). They embezzle nutrient and space around them and grow like crazy compromising other cells and systems, but they don’t care anyway.

The situation leads to destruction of the whole organism as the imbalance becomes unbearable. So even the cells that thought they have achieved immortality eventually crumble then dies with the whole organism. Cancer once thought as a means to live forever becomes the very cause to die early. If possible the stubborn cells can be removed surgically or chemically but with expense of other cells.

One thing that baffled scientist of all times is that all the chemicals that are termed as carcinogens do not directly cause cancer. They merely act as triggers which then make the cell themselves turn into cancerous masses. The cell remain unrecognizable by the immune as it does not appear foreign.

Strange!?

No. If compared to the society we live in the thieves and the corrupt do not have specific faces. Their behavior of not caring for the good of others is what makes them bad. They were not born that way but some circumstances (like carcinogens) made them be that way. Higher degrees of chaos and insecurity and insufficiency then trigger the corrupt behavior of those in chance to do so. The same thing that happens to our poor cells and systems.

Cancers has been associated with too much of insulting chemicals or too little of scarce nutrients (Some deficiency). Keep in mind that it is all done for a good reason. Survival.


Addition: The concept of a sterile body (Nyongeza: Kukosekana kwa umoja na ushirikiano wa wadudu katika mwili):

By sterile body I mean the body whose almost all cells are of that organism. I mean if it is a human then the eukaryotic cells make up the sterile body of a human. In contrast there is a normal body which is infested with about ten times bacterial cells (prokaryotes). In the former body there is lack of the sense of communal sharing of resources with the non self. Thus a risk of developing cancer rises. It is difficult to have cancerous cells when one has proper balance of microbiome in his/her body. The higher thinking decides whether to care them or to kill them.
As up above as down below, to infinity and back
You can find a book with more information in the book The Code we Live by It keeps on being updated!

The author is Sure

July 21, 2023

sahili
 
Back
Top Bottom