Ripoti ya UN: Iran imenyonga zaidi ya watu 100 kati ya Januari – Machi 2022

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyowasilishwa Jumanne.

Akizungumza mbele ya Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa mjini Geneva, naibu mkuu wa Umoja wa mataifa wa masuala ya haki za binadamu Nada Al-Nashif aliwasilisha ripoti ya hivi karibuni ya Guterres kuhusu Iran, akisema kwamba hukumu za kunyonga watu nchini humo zimeongezeka.

“Wakati watu 260 walinyongwa mwaka wa 2020, takriban watu 301 walinyongwa mwaka wa 2021, wakiwemo wanawake 14, amesema, akiongeza kuwa hali hiyo imeendelea kuongezeka mwaka huu.

Kati ya Januari 1 na Machi 20, amesema “takriban watu 105 walinyongwa”, wengi wao wakiwa ni kutoka kwenye makundi ya walio wachache.

Ripoti ya Guterres ilibaini kwa wasiwasi mkubwa ongezeko la hukumu za kunyonga kwa ajili ya uhalifu mdogo, yakiwemo makosa yanayohusiana na dawa za kulevya, Nashif amesema.

“Adhabu ya kifo inaendelea kutolewa kwa misingi ya mashtaka yasiyofikia uhalifu mkubwa, na kwa njia zisizolingana na vigezo vya kesi za haki,” ameliambia Baraza la Umoja wa mataifa la haki za binadamu.


Source: Ndtv

==================

Iran Executed Over 100 People Between January And March: UN Report

Iran executed more than 100 people in the first three months of 2022, continuing a worrying upward trend, according to a report by UN Secretary-General Antonio Guterres that was presented Tuesday.

Speaking before the UN Human Rights Council in Geneva, UN deputy human rights chief Nada Al-Nashif presented Guterres' latest report on Iran, decrying that executions in the country were on the rise.

"While 260 individuals were executed in 2020, at least 310 individuals were executed in 2021, including at least 14 women," she said, adding that the trend had continued this year.

Between January 1 and March 20, she said, "at least 105 people were executed," many of whom belonged to minority groups."

Guterres's report had noted with deep concern the increase of executions for lesser crimes, including for drug-related offences, Nashif said.

"The death penalty continues to be imposed on the basis of charges not amounting to 'most serious crimes', and in ways incompatible with fair trials standards," she told the council.

Nashif said that in March, 52 people sentenced to death on drug-related charges were transferred to Shiraz prison for execution.

She also lamented the continued use of the death penalty for juvenile offenders, in violation of international law.

Between August 2021 and March 2022, at least two people who committed their alleged crimes as minors were executed and more than 85 juvenile offenders remain on death row, she said.

"In February 2022, in a positive development, the Supreme Court decided to revoke the death sentence against a child offender who had been on death row for 18 years," Nashif added.

The deputy rights chief also decried other rights abuses in Iran, especially in response to protests over a range of significant social, political and economic challenges over the past year.

"Excessive use of force constitutes the default response by the authorities to managing assemblies," she said.

"In April and May 2022, at least 55 individuals -- teachers, lawyers, labour rights defenders, artists and academics -- were arrested during protests, many of whom are facing national security charges."

To date, no steps have been taken to establish accountability for violations committed during the nationwide protests in November 2019, she added.

Unnecessary deaths caused by excessive force inflicted by the authorities, against border couriers, peaceful protesters and those in detention, has continued with impunity, Nashif told the council.

"The scale of deaths in detention... is of serious concern," she said.

Mehdi Ali Abadi, Iran's deputy permanent representative in Geneva, slammed the report, saying it was based on a malicious mandate forced on the UN by Western countries to stigmatise Iran, insisting it was "biased by default".
 
Kati ya kitu wazungu/Westerners wameshindwa na hawataweza kamwe ni kubadili mifumo ya maisha ya Waarabu/persians namna ya kuishi..
Hii hata Obama aliiongelea kwenye kitabu chake 'Dream from my father'
Hawa watu kuna makabila wanaamini ni uzao wa mitume and alike,ndio rahisi hata wao kuweza dhibitiana wenyewe,
So waendelee kupunguzana,sababu itasaidia hata ulimwengu kuendelea kuwa sehemu salama
 
Kati ya kitu wazungu/Westerners wameshindwa na hawataweza kamwe ni kubadili mifumo ya maisha ya Waarabu/persians namna ya kuishi..
Hii hata Obama aliiongelea kwenye kitabu chake 'Dream from my father'
Hawa watu kuna makabila wanaamini ni uzao wa mitume and alike,ndio rahisi hata wao kuweza dhibitiana wenyewe,
So waendelee kupunguzana,sababu itasaidia hata ulimwengu kuendelea kuwa sehemu salama
Sasa kwa akili kama hizo na ww unataka kuongoza family? Alaf tutegemee ccm iondoke madarakani, tuna safari ndefu asee
 
Back
Top Bottom