Kamati ya Utekelezaji Baraza Kuu UWT Taifa Wanolewa Kuhusiana na Sera ya Jinsia

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945

🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA

📍Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024.

Semina hii ni nyenzo muhimu kwa UWT katika kupanga mikakati madhubuti kuelekea usawa wa kijinsia (50/50) sambamba na kuongeza ushiriki wa wanawake katika Siasa hasa tunapolekea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na uchaguzi wa Serikali kuu 2025.

Semina hii imeandaliwa na UWT Taifa chini ya Kamati ya Haki na Sheria inayoongozwa na Mhe Zainab Katimba (Mb) kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya FES.

#UWTUpdates

#UWTIMARA
#JESHILAMAMA
#KAZIIENDELEE
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.55.42.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.55.42.jpeg
    185.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.13.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.13.jpeg
    196.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.12(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.12(1).jpeg
    115.9 KB · Views: 0
  • WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.12.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.12.jpeg
    171 KB · Views: 0
  • WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.11.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-19 at 20.16.11.jpeg
    143.8 KB · Views: 0
Back
Top Bottom