Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Kasi ya Maendeleo Jimbo la Manonga, Wampongeza Mbunge Gulamali

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,906
945

UONGOZI UWT TAIFA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MANONGA

UWT Taifa Washambulia Kata 8 Jimbo la Manonga na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Bi Asya Ali Khamis Atembelea Jimbo la Manonga Kata ya Choma katika Ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo

Sambamba akiambatana na Wajumbe wenzake toka Halmashauri Kuu Taifa Mh Subira Mgalu, Mjumbe wa Kamati Utekelezaji UWT Taifa ambaye alifika Kata ya Nyandekwa, Mjumbe wa NEC Bi. Joyce lyoba Mang’o Kata ya Nkinga na Mwisi.

Vilevile, Kata ya Mwashiku na Ngulu ilitembelewa na Ndugu Nadra Gulam Rashid MNEC. Kata za Ziba na Ndembezi zilitembelewa na Mjumbe wa Kamati Utekelezaji UWT Taifa Bi. Mariam Said Khamis

Viongozi UWT Taifa wamesema kuwa Wameridhishwa na Utekelezaji na Wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Gulamali kwa kuwa karibu na Wananchi wake huku kasi ya maendeleo kwenye Elimu, Afya, Barabara, na Maji vikishamiri Jimboni
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.52.jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.52.jpeg
    111.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.53.jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.53.jpeg
    154.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.49.jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.49.jpeg
    80.1 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.48.jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.48.jpeg
    101.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.49(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.49(1).jpeg
    135.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.51(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.51(1).jpeg
    80.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.45.jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.45.jpeg
    76.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.47(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-08-19 at 13.25.47(1).jpeg
    88.1 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom