UWT Taifa Wafanya Ziara ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,177
1,028

IGUNGA: "UWT TAIFA WAFANYA ZIARA YA KISHINDO, WANANCHI WASEMA ILANI INATEKELEZWA KWA VITENDO"

Habari Picha: Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Shomari (MNEC) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti kwenye Mikutano ya kuongea na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wakaazi wa Jimbo la Igunga.

Makamu Mwenyekiti amepokea taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Igunga ambapo takribani Shilingi Bilioni Sabini na Moja (Tshs. 71,000,000,000/=) zimetolewa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.

#KAZINAMAENDELEO
#KAZIIENDELEE
 

Attachments

 • WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.44.jpeg
  WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.44.jpeg
  103.1 KB · Views: 2
 • WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.42.jpeg
  WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.42.jpeg
  102.3 KB · Views: 2
 • WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.38.jpeg
  WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.38.jpeg
  98.5 KB · Views: 3
 • WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.37.jpeg
  WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.37.jpeg
  113.4 KB · Views: 3
 • WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.36.jpeg
  WhatsApp Image 2023-08-19 at 08.52.36.jpeg
  102.7 KB · Views: 3
 • F34W2m0aIAAdlGa.jpg
  F34W2m0aIAAdlGa.jpg
  101.5 KB · Views: 2
Ilani gani wananchi wana umasikini wa kutisha huko? Wenzetu Asia walianza na miradi ya kubadili vipato ya wananchi wao, sasa hao CCM na Serikali yao wana Miprojects ambayo haina.maana kwa mwananchi wa kawaida make still kama huko Igunga kuna umasikini wa kutisha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom