Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na watoto.

IMG-20230215-WA0025.jpg
IMG-20230215-WA0028.jpg
IMG-20230215-WA0027.jpg
IMG-20230215-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom