uwaziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mngony

    Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  2. dubu

    Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  3. Pascal Mayalla

    Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni miongoni wa watu wenye boldness ninayoizungumzia hapa...
  4. sky soldier

    Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  5. sheiza

    Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  6. Suley2019

    KWELI Cleopa Msuya ameshawahi kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu na Umakamu wa Rais kwa wakati mmoja

    Salaam Wakuu, Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja. Kuna ukweli hapa? Picha: Cleopa Msuya
  7. FaizaFoxy

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  8. ESCORT 1

    Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  9. BARD AI

    Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

    Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu mpya utachukua Wiki 1 huku Wagombea 3 wakitakiwa kupitia mchujo Oktoba 24...
  10. saidoo25

    Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  11. BLACK MOVEMENT

    Spika wa Bunge apewe Uwaziri Mkuu

    Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali. Sasa huyu Spika ni kana kwamba yeye ni Waziri Mkuu wa nchi yaanianafanya majukumu yote ya Waziri Mkuu. Ni...
  12. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  13. C

    Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi
  14. Jakamoyo msoga

    Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa! Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu? Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi? Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote...
Back
Top Bottom