Spika wa Bunge apewe Uwaziri Mkuu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,499
Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali.

Sasa huyu Spika ni kana kwamba yeye ni Waziri Mkuu wa nchi yaanianafanya majukumu yote ya Waziri Mkuu.

Ni vigumu hata hapo Rwanda tu kukuta spika wa Bunge anatetea Serikali, hana huo muda na sio jukumu lakewacha Serikali ijitetete yenyewe.

Tanzania Bunge ni kama ni Serikali wako bise sana kuitetea na kuisifia, Yaani mtu bila kumsifia Raisi hajaona kama kaongea Bungeni.

Nafuatiliaga Bunge la Kenya sijawahi ona Mbunge awe ni wa chama tawala anasimama na kuanza kumsfia Uhuru Kenyata, hio haipo kabisa.

Bunge letu linazidi kuwa dhaifu kila kukicha na si ajabu limegeuka kuwa Zoo sehemu ya watu kwenda kuuzia sura.
 
Kumbuka kwamba aliweka pale kwa nguvu na serikali kuwa naibu spika, na ni serikali hio hio imemwezesha kuwa sppika baada ya kumfurusha Ndugai kwa nguvu. Sasa atakataje tawi alilokalia? Huwezi kukata mkono unaokulisha. Asante
 
Inasikitisha sana kuona mtoa mada ni mmoja wa mazezeta yaliokubali kutawaliwa kiakili na kimwili na Kenya. Hivi hauwezi kuandika hoja yako ikaeleweka bila kuishirikisha Kenya. Mbona wakenya huwa hawatolei mifano kwa Tanzania?

Nyinyi ndio mnawafanya wakenya waendelea kujipa matumaini, na kuamini kuwa bado kuna mandondocha yanayowaabudu wao tu kama taifa la Mungu humu mitandaoni.
 
Hapa kila mbunge anamtegemea mwenyekiti wa chama ili arudi bungeni na si kutegemea nguvu ya wananchi. Ndo maana kila mbunge utasikia akisimama kabla hajachangia anasema
-Kwanza naunga mkono hoja
-Namshukuru mama Kwa kunipa hela ya barabara
-Namshukuru na kumpongeza waziri wa fedha.
Spika huyu huyu alisema raisi ni kila kitu kwa hiyo acha waendelee kuburuzwa na kuingilia nafasi za serikali.
 
Hali inatisha sijui sisi tulichelewa wapi mkuu Bunge la Kenya unafuatilia channel gani?
 
amechukua nafasi ya Jenista enzi zile,kasoro tu yeye haombi muongozi.
Wasomi nchi hii hawana umuhimu wowote
 
Huyo unayemuita Betina ni msomi na mwenye madaraka makubwa nchi hii. Mamaako na mkeo (kama wewe ni me) watakufa wanajulikana kwenye nzengo tu kama watu wanaowahi chakula msibani!
utahukumiwa kutokana na ufala unaofanya sio usomi wala madaraka. Kwa sababu hukwenda shule kusomea ujinga kama wa Betina Akson
 
Si mlifurahia sana upinzani kutoingia bungeni, hayo ndo matokeo yake!!

Upanga hukata kote kuwili, na bado!!
 
Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali.

Sasa huyu Spika ni kana kwamba yeye ni Waziri Mkuu wa nchi yaanianafanya majukumu yote ya Waziri Mkuu.

Ni vigumu hata hapo Rwanda tu kukuta spika wa Bunge anatetea Serikali, hana huo muda na sio jukumu lakewacha Serikali ijitetete yenyewe.

Tanzania Bunge ni kama ni Serikali wako bise sana kuitetea na kuisifia, Yaani mtu bila kumsifia Raisi hajaona kama kaongea Bungeni.

Nafuatiliaga Bunge la Kenya sijawahi ona Mbunge awe ni wa chama tawala anasimama na kuanza kumsfia Uhuru Kenyata, hio haipo kabisa.

Bunge letu linazidi kuwa dhaifu kila kukicha na si ajabu limegeuka kuwa Zoo sehemu ya watu kwenda kuuzia sura.
Kwa hiyo tumpe kofia mbili,ya uaipika na u waziri Mkuu?
 
Haya yote wa kulaumiwa ni Maghufuli
Kama Magu ni WA kulaumiwa ktk hili iweje Betina awe PROMOTED Badala ya kuwa DEMOTED.

Ndugu tumieni akili zenu vizuri kufikiri. Msikariri kama Nyumbu😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom