Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi

Screen Shot 2021-10-11 at 17.32.05.png
 
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupjwita kiasi

View attachment 1971273
Je aliishia kupiga nao selfii tu au alichukua japo, hatua kuwaonyesha wanawezaje kurudi darasani, au hata kuwapahamasa ya kwanini warudi shule.
 
Kufanya kazi mbele ya camera ndio kuchapa kazi? Sifa za kijinga hyo ukimpa uwaziri mkuu TBC haitakua na kazi nyingine.
 
anakula uwaziri mkuu mwakani hiyo picha imeonyesha jinsi anavyojali wanyonge
Yaan kubeba makopo ni kujali wanyonge?

Hyo hata huo ubunge ni kwa vile alipewa wa mezani ila kiualisia hana sifa za kua mbunge

yaan kiongozi badala unakuta wakulima wanalima kwa kutumia jembe la mkono badala uwasaidie kwa kuwapa trekta et na wewe unashika jembe tena mbele ya camera .

Kwenye hyo picha nikwambie tu baada ya kuselfie na hao watoto aliendelea na mishe zake
 
Jembe linachapa kazi sana hilo
 
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi

View attachment 1971273
Uchaguzi ukikaribia haya ndiyo maigizo.
Subiri uje usikie majaliwa akiwasaidia kupalilia mahindi jimboni kwake.
 
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi

View attachment 1971273
Mpuuzi huyo, huko shule chakula kinatolewa bure? Uchumi umevurugwa na serikali ya chama chake, na huo ndio uhalisia wa maisha ya familia nyingi yalivyo kwa sasa.
 
Msimletee makasiriko jamani ataukosa u waziri mkuu
 
Yaan kubeba makopo ni kujali wanyonge?

Hyo hata huo ubunge ni kwa vile alipewa wa mezani ila kiualisia hana sifa za kua mbunge

yaan kiongozi badala unakuta wakulima wanalima kwa kutumia jembe la mkono badala uwasaidie kwa kuwapa trekta et na wewe unashika jembe tena mbele ya camera .

Kwenye hyo picha nikwambie tu baada ya kuselfie na hao watoto aliendelea na mishe zake
Hawa ni wajinga wenzake jiwe ambao kwao umaskini ndiyo sifa
 
Back
Top Bottom