Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,498
3,465
ccmtanzania_170823040760542.jpg
Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu.

Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa?

Wanamtambua Lowasa kama Waziri Mkuu Mstaafu lakini hawamtambui aliyempa hicho cheo? Upuuzi mtupu.

Jakaya Kikwete hakutajwa kisa alimkata jina kwenye urais 2015. Hivi ili Kikwete awe mzuri ilikuwa lazima Lowasa awe Rais? Mbona alikatwa Bilal makamu wa rais, alikatwa pinda waziri mkuu kwanini nongwa iwe kwa Lowasa tu? Yaani kanakwamba hakutakiwa kufa bila kuwa Rais?

Hata hivyo si Kikwete peke yake alikuwa anakata majina.

Kashfa ya 2008 ndo ilimharibia Lowassa. Alitakiwa ajisafishe tuhuma za Ufisadi. Sio kumtaka Jakaya Kikwete ambebe.

Edward Lowassa cheo cha juu alichoandikiwa na Mwenyezi Mungu Muumba ni Uwaziri Mkuu. Uwaziri Mkuu wenyewe akaususa kwa kujiuzulu. Angeteuliwaje tena Uwaziri Mkuu alosusa?

Pamoja na kuwa bungeni kipindi kirefu, hivi ndo aina na vyeo Lowassa alikuwa anapewa.

Waziri wa maji na Mifugo (2000-2005), Waziri wa nchi Mazingira (1993-1998), Waziri katika ofisi ya waziri mkuu maafa na sera (1990-1993), Mkurugenzi mtendaji AICC (1989-1993) nk.

Amshukuru Kikwete kumpa Uwaziri Mkuu nadi kazikwa kitaifa.
 
Watu wamesahau Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela pamoja na uadilifu na uchapakazi wake alikatwa 1995 na ilipofika 2005 akachukua tena fomu akaambiwa Rudisha hiyo fomu uje meza kuu kusaidia kuchuja Wagombea na hakuwa na kinyongo, kuhama chama na aliendelea kuwa Tingatinga la Chama cha Mapinduzi
 
View attachment 2907558

Bila kuwa R.I.P. Nchi haitatulia
 
Huo mwaka 2008 yeye Lowassa hakumbeba JK?
Hakumbeba kwa chochote. Lowassa alianza kujichafua tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Hadi Nyerere akahoji "Mtoto mdogo anatoa wapi hela nyingi namna hii?".
 
Watu wamesahau Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela pamoja na uadilifu na uchapakazi wake alikatwa 1995 na ilipofika 2005 akachukua tena fomu akaambiwa Rudisha hiyo fomu uje meza kuu kusaidia kuchuja Wagombea na hakuwa na kinyongo, kuhama chama na aliendelea kuwa Tingatinga la Chama cha Mapinduzi
Kuna tofauti Kati ya Mgogo na Masai
 
Ili nchi itulie RiP inamhusu sana.....!!! Nilitonywa na mabaka mabaka...
ana miaka 73 tayari yule, Hana cha kupoteza ameachive mengi ambayo Mimi na wewe hata robo hatuwazii.

Kifupi hatumuwezi na siku yake ikifika InshaAllah mwenyezi Mungu atamchukua na kumpumzisha.

Kama mlishindwa kutuliza nchi akiwa na 40yrs mpaka Leo maana yake yeye ni mshindi, achievement za mipango yake zimekwenda kwenye peak na bado mlishindwa kumzuia.
 
Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu.

Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa?

Wanamtambua Lowasa kama Waziri Mkuu Mstaafu lakini hawamtambui aliyempa hicho cheo? Upuuzi mtupu.

Jakaya Kikwete hakutajwa kisa alimkata jina kwenye urais 2015. Hivi ili Kikwete awe mzuri ilikuwa lazima Lowasa awe Rais? Mbona alikatwa Bilal makamu wa rais, alikatwa pinda waziri mkuu kwanini nongwa iwe kwa Lowasa tu? Yaani kanakwamba hakutakiwa kufa bila kuwa Rais?

Hata hivyo si Kikwete peke yake alikuwa anakata majina.

Kashfa ya 2008 ndo ilimharibia Lowassa. Alitakiwa ajisafishe tuhuma za Ufisadi. Sio kumtaka Jakaya Kikwete ambebe.

Edward Lowassa cheo cha juu alichoandikiwa na Mwenyezi Mungu Muumba ni Uwaziri Mkuu. Uwaziri Mkuu wenyewe akaususa kwa kujiuzulu. Angeteuliwaje tena Uwaziri Mkuu alosusa?

Pamoja na kuwa bungeni kipindi kirefu, hivi ndo aina na vyeo Lowassa alikuwa anapewa.

Waziri wa maji na Mifugo (2000-2005), Waziri wa nchi Mazingira (1993-1998), Waziri katika ofisi ya waziri mkuu maafa na sera (1990-1993), Mkurugenzi mtendaji AICC (1989-1993) nk.

Amshukuru Kikwete kumpa Uwaziri Mkuu nadi kazikwa kitaifa.
Hata yeye asingepataa hata uwaziri wa mambo ya nje hata uraisi asingekuwa Lowasa.

Hivyoo usijitoee ufahamu

Kama hujui historia ni vyema ukaacha kuandika maandiko yasio na Tijaa
 
Back
Top Bottom