sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu.
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu.