sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,568
- 11,487
Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.
Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.
Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.