ushujaa


  1. zitto junior

    Leo Major: Kutana na shujaa wa aina yake

    Habari za jioni wana JF intelligence natumaini wote wazima humu na moja kwa moja niende kwenye mada. UTANGULIZI Leo major alikuwa mwanajeshi wa canada ambaye aliyepigana vita mbili kubwa na kuibuka shujaa wa aina yake yaani vita kuu ya pili ya dunia (1940s) na vita vya korea (1950s).Leo...