Ulinzi wa Data: Sheria ya Kulinda Taarifa ni muhimu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali, ili watu wajiamini na kuwa huru

Haki hii ya Faragha ipo kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na wadau mbalimbali wamekuwa wakihamasisha kutungwa kwa sheria ya kulinda na kuhifadhi faragha

Hivi karibuni kulikuwa na malalamiko ya wananchi kuwa mawasiliano yao yanaingiliwa bila utaratibu wala sheria inayoeleweka

Screenshot 2022-02-21 at 16-04-25 TCRA Tanzania on Instagram “Waziri wa Habari, Mawasiliano na...png
 
Back
Top Bottom