mnazi mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  2. Mohamed Said

    Bibi Titi na Historia ya Mnazi Mmoja 1950s

    BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union. Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
  3. BigTall

    Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  4. Suley2019

    DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  5. Salum Fumo

    Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  6. Librarian 105

    Kinachoendelea Mnazi Mmoja ni superb

    Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha. Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani ya bunge kubainisha mambo ya ndani yanayorudisha nyuma shughuli za wananchi kimaendeleo. Ila...
  7. HIMARS

    Mgomo Kariakoo: Wafanyabiashara wakutana Mnazi Mmoja

    Baada ya kutangaza kugoma kufungua maduka yao wiki iliyopita, hatimaye Kariakoo ikasimama. Mkuu wa Mkoa akaenda, akashindwa wafanyabiashara wakamtaka Rais, Ripoti ikatoka kutoka Dodoma kuwa Mkutano utafanyika Dodoma siku ya Alhamis, chini ya Waziri Mkuu, wafanyabiashara wakagoma. Likatoka...
  8. Poppy Hatonn

    Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  9. Mohamed Said

    Uwanja wa Mnazi Mmoja 1948

    UWANJA WA MNAZI MMOJA 1948 Nilipata kuandika katika moja ya mitandao ya kijamii kuwa takriban kila aliyesikika katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika yumo ndani ya Nyaraka za Sykes. Baadhi ya wasomaji walinishambulia wakinishutumu kuwa nina mkakati wangu maalum wa kuharibu historia...
  10. Mohamed Said

    Sabasaba Mnazi Mmoja 1956

    TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956 Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa. Nairejesha tena hapa jamvini safari hii kwa sababu ipo katika gazeti la Mwangaza la Julai 1956. Nakuomba msomaji wangu usome maelezo...
  11. Mohamed Said

    Wanawake katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja

    WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake: ''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
  12. Mohamed Said

    Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Mama Maria Nyerere na mabaibui katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: MABAIBUI YALIYOMPOKEA MWALIMU NA MAMA MARIA NYERERE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika mazungumzo na BBC Swahili jana Mama Maria Nyerere amewasifia mama zetu kwa ushujaa wao wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Dada yangu...
  13. King Kong III

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  14. Mohamed Said

    Everton vs Saigon 1967

    EVERTON VS SAIGON 1967 Rafiki yangu Mohamed Abdulrahman kutoka Ujerumani leo asubuhi kaniandikia kitu kilichonirudisha nyuma sana udogoni. Soma stori: "Baada ya kuundwa Saigon Everton ilibaki na tulicheza mechi mbili. Ya kwanza nilicheza inside right pembeni yangu alikuwa Mkwanda Ingemar...
Back
Top Bottom