Habari za humu wanajamvi?
Naamini mko vizr. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini
Hakuna maji safi. Hakuna education nzuri. Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi
Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea...
Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu.
Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana.
Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
Inasikitisha sana kuona jinsi shirika hili linavyoendeshwa.Miaka 60 ya uhuru lakini bado umeme ni wa shida hapa nchini.
Mbaya zaidi hakuna anayewajibika au kuwajibishwa. Waziri mhusika ndiyo kwanza anatumia chopper kukagua vyanzo vya maji na kusema Tanzania nzima hakuna Crane ya kuweza kubeba...
Unapouliza mapungufu kwenye masuala ya demokrasia yetu nchini ni rahisi sana kusikia kuwa demokrasia yetu bado ni changa sana ukilinganisha Na nchi za marekani Na ulaya, hivyo bado tunajifunza polepole ili tufike kwa wenzetu wenye zaidi ya miaka 200 na kuombwa tusijilinganishe nao.
Uchanga...
Nimekwazwa na kilichotokea kwa wasanii kufurumushwa uwanjani pasipo kutumbuiza na pia kuonekana kama watu waliokuwa wamevamia shughuli licha ya kuwavalisheni mavazi yenye uwiano wa rangi na jeshi lenu pendwa halikuwa jambo la kupendeza wala kupongezwa.
Ni kweli tulipaswa kuenzi utamaduni wetu...
Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine
Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za...
Matukio Katika Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa pamoja na Wananchi katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
#Miaka60YaUhuru
#AMANIYETUFURAHA...
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
===
Sitaki kuzungumzia mambo mengi yaliyofanywa na Serikali za Chama Cha Mapinduzi za awamu zote kwa miaka 60 toka tukiitwa TANU na sasa CCM,
Kwamsiojua,Umri wa kuishi kwa Mtanzania umeongezeka kutokana na uboreshaji na upatikanaji wa lishe na kuondoa udumavu pamoja na huduma bora za afya...
Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
"Mimi Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu.
Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu.
Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi, akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA
Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO
Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Makala hizi jumla yake ni 27 na...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa;
"Elimu yetu ambayo mwanafunzi akimaliza form 4 anaenda form 5&6, ina tija gani kwa taifa letu?"
Maelezo...
Nyota njema huonekana asubuhi.
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe.
Sina uhakika ni nani mwingine hapa nchini ni mtoto wa Kiroho wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere zaidi ya huyu mahabusu Freeman Mbowe.
Sisi Wajanja wa Mzizima tunamkubali Mwamba.
Mungu ampe wepesi na kumtoa gerezani!
Mungu...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: MABAIBUI YALIYOMPOKEA MWALIMU NA MAMA MARIA NYERERE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Katika mazungumzo na BBC Swahili jana Mama Maria Nyerere amewasifia mama zetu kwa ushujaa wao wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Dada yangu...
MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV
"Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.