Kwa nini huwa unachelewa kulala?
Kawaida siku inapoanza kwa kuchomoza kwa jua, watu wengi huanza pilika za kutafuta riziki na kutimiza majukumu yao ya kila siku
Wengine huenda kazini, vibaruani, mashambani, sokoni, huku watoto nao wakielekea shuleni
Kwa kifupi, siku huwa imejaa shughuli...