majitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
  2. L

    Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Mkoa wa Dar es Salaam, umekumbwa na tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama kwa muda mrefu. Kuongezeka kwa idadi ya watu na ukuaji wa mji umesababisha ongezeko la mahitaji ya maji, huku miundombinu ya zamani ikishindwa kukidhi mahitaji hayo. Katika kusaka suluhisho endelevu, nafasi ya...
  4. N

    Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  6. E

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Huduma zetu! KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI. KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO. KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA. KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI. 0759600809 Gerezani
  7. Kiume3000

    Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  8. Shadow7

    Wanaotiririsha majitaka Mabibo wapewa siku saba

    MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Manispaa ya Ubungo, wametoa siku saba kwa wananchi wanaotiririsha majitaka katika mabwawa ya Mabibo kujisalimisha. Mamlaka hizo zimesema, wahusika wote, wajisalimishe Manispaa au DAWASA na wale watakaokaidi agizo hilo ndani ya...
  9. Byra toilet construction

    Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
Back
Top Bottom