Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua?
Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
Habari JF member.
Tunakumbusha tena katika kipindi hiki chenye changamoto ya maji, ambapo kwa asilimia kubwa imeathiri uchumi haswa upande wa uzalishaji.
Sasa watu wamehamka kuchimba visima, kutokana na haraka hii, wengi hawafanyi survey so wanachimba kwa kukadilia kina ambacho watapata maji...
Salamu kwenu.
Wadau wa kilimo, ufugaji na mazingira , napenda kuwaletea bidhaa zitakazo saidia kuongeza tija kwenye miradi yenu.
#1 Sprinkler kwa umwagiliaji wa kisasa kwenye mashamba, bustani, n.k
Zimetengenezwa kwa shaba,
size yake ni robo tatu( 3/4).
Inamwagilia kipenyo cha mita 29.
Nunua...
Habari Jf members.
Kichwa cha habari ni swali mahususi kwa kuanzia ili kupata baadhi ya maarifa kuhusu uchimbaji wa visima kulingana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 5 katika biashara hii.
Kwa wadau wa uchimbaji wa visima ni kawaida kukutana na swali la namna ya kutambua gharama za uchimbaji...
Huduma zetu!
KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI.
KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.
0759600809
Gerezani
Kwa wenye miradi ya kibiashara au majumbani sasa unaweza kupata pump kulingana na matumizi yako. Zipo pump kwa ajili ya visima virefu na vifupi, mabwawa,majitaka, n.k
Pump hizi zinatumia umeme wa kawaida, zipi zinazotumia umeme wa jua na zipo zinazotumia mikono au miguu(manual).
Ukihitaji kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.