chanzo cha mapato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  2. T

    Serikali iache kutumia faini za barabarani kama chanzo Cha mapato kwenye bajeti

    Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi kuwa serikali inapohitaji hela ya ziada huwabana trafiki wa barabarani kutumia nguvu nyingi kukusanya...
  3. ommytk

    Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  4. Konseli Mkuu Andrew

    Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  5. chiembe

    Mkuu wa Mkoa, unaweza kuongeza chanzo cha mapato kwa kuweka kodi maalum kwa stendi binafsi na mabasi yao

    Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni. Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance. Mchezo umekwisha. Ukiwa na stendi binafsi...
  6. Komeo Lachuma

    Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku. Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
  7. vvm

    Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  8. matunduizi

    Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

    Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza. Ushahidi. 1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana. 2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao...
  9. Replica

    Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

    Habari wakuu, Wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila...
  10. Kiume3000

    Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
Back
Top Bottom