Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam.
Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa katika chemba za majitaka na kusababishia uchafuzi wa Mazingira.
Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya majitaka ili kuilinda na kulinda uchafuzi wa Mazingira, usitupe taka ngumu kwenye chemba za majitaka