Hii ni stori ya kweli:
Nakumbuka ni miaka kadhaa imepita,kipindi niko form 4,Kuna binti mzuri wa kwenda.tumpe jina Irene.
Irene alikuwa ni rafiki mkubwa wa mtoto wa dada yangu,walisoma skul moja ya msingi, lakin sekondari walisoma walisoma shule tofaut lakn zote za mji mmoja,
Mimi form 4,wao...