siku ya kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchochezi

    Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  2. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

    Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika mazingira gani mwanasiasa huyo kijana alipotea na yuko...
  3. Mama Mwana

    Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

    Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo? Sijaelewa naomba kueleweshwa.
  4. Idugunde

    Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  5. robinson crusoe

    Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  6. Sky Eclat

    Umuhimu wa siku ya kuzaliwa kwa mtoto (birthday)

    Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu. Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
  7. Lanlady

    Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  8. N

    Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  9. H

    Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

    Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
  10. Abraham Lincolnn

    Kusherehekea siku ya kuzaliwa hali ya kuwa wananchi wanateseka na umasikini

    Wakuu nisipende kuwachosha Ila inasikitisha sana kuona ikulu ambapo Nyerere aliwahi kusema kuwa ni mahala patakatifu imebadilika na kuwa pango la walanguzi. Leo ikulu hapafanyiki tena mikutano ya kujadili mikataba ya madini,utiaji saini miradi ya maendeleo n.k Bali imekuwa sehemu ya kufanya...
  11. Baraka Mina

    Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  12. P

    Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  13. Baraka Mina

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao; "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
  14. Ntiyakama

    SoC01 Namna ya kusherehekea siku ya kuzaliwa iletayo hamasa mpya ya maisha

    Baada ya kukumbuka kuwa kesho ni siku yake ya kuzaliwa; alikopa pesa, akafanya sherehe (birthday party) na baada ya sherehe hakuna alichowaza kingine zaidi ya namna ya atakavyolipa deni! Anayekupenda hakumwagii maji, atakumwagia upendo ulio sheheni baraka, shauri jema, makanyo, maelekezo...
  15. miles45

    Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

    Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu. Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa. Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana yule mwanamke kumuambia jamaa kuwa alimuonea huruma tu akamuoa ni neno la kawaida Sana na hili neno...
Back
Top Bottom